Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Nov 3, 2023 #21 Watu huwa wanafanya mambo kwa kuangalia mood ya mkubwa. Rais ndiyo kila kitu, ukiona watu ni wezi ujue wamemuangalia na kumsoma Rais.
Watu huwa wanafanya mambo kwa kuangalia mood ya mkubwa. Rais ndiyo kila kitu, ukiona watu ni wezi ujue wamemuangalia na kumsoma Rais.
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Nov 5, 2023 #22 GenuineMan said: Historia haina mwaka wala tarehe! Inawezekana pia hayo matukio yalipangwa. Click to expand... Wala jina la mtoto, haya ni matango pori
GenuineMan said: Historia haina mwaka wala tarehe! Inawezekana pia hayo matukio yalipangwa. Click to expand... Wala jina la mtoto, haya ni matango pori
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Nov 5, 2023 #23 mwanamwana said: Basi watoto wa Nyerere walikuwa wakorofi sana. Kuna mmoja ambaye naye Nyerere aliitwa shuleni Tambaza. Huyo headmaster baada ya muda akala shavu usalama wa Taifa. Click to expand... Acha uongo bhana....
mwanamwana said: Basi watoto wa Nyerere walikuwa wakorofi sana. Kuna mmoja ambaye naye Nyerere aliitwa shuleni Tambaza. Huyo headmaster baada ya muda akala shavu usalama wa Taifa. Click to expand... Acha uongo bhana....