Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

[Emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimecheka kama mazuri vile! Ila nimeimagine ningekuwa mimi ningeumia sana
 
Kinganganizi yani kila ndugu yangu anataka kumjua hata posa mjomba hajapeleka na kingine mwanamke hafundishwi usafi.yani kuoga zile siku za kwanza mpka utapenda akishazoea sasa duuh.
 
Kuna siku huyo ex wangu aliniomba hela ya kusukia. Wakati ananiomba nilikuwa mkoa tofauti na tunapoishi nikamwabia nimesahau ATM yangu mza subiri baada ya siku 3 nkirudi ntakutumia nkamueleza nilikuwa na kiasi kidogo tu kisingetosha kwa mizunguko niliyokuwa nayo nkimtumia. Kesho yake nilipompigia akaanza dharau ooh wenzio washanitumia hela ya kusuka na picha ukitaka nakutumia whatsapp. Wakati najieleza nkasikia akinisonya kwa sauti ya chini na kusema "go to hell". Alidhani sitayasikia lakini nikawa nimesikia nikasema whaaaaaaat?!! Akasingizia ni maneno ya kwenye movie. Mi nkamuuliza movie gani hiyo hebu ongeza sauti nisikie mbona alihaha akaanza halooo halooo mtandao unasumbua! Tangu siku hiyo nilimuona mtu asiyenifaa ktk maisha yangu hasa ndoa kwani tulipanga kuoana mwezi wa 7 mwaka huu. Nilimpotezea mazima japo alipiga simu sana kuomba msamaha nkampotezea mazima mpaka leo.
 
wajomba zangu ni wachaga na Sijawahi kuhisi hata mambo hayo ya kiswahili huko uchagani..zaidi ni watu wanaopenda dini


Sasa hapa ndiyo umeongea nini? Kigezo kikubwa cha washirikina ni kujifanya kupenda dini ili kuwapotosha watu/jamii, usiku mnalala wenzenu wako mitaani wanafinya watu.
 


Na pengine lilikuwa na vyeti fake kuishi mjini kimagumashi nawe ukaingia mkenge.
 
Reactions: SDG
Mm nilikuwa na demu mzur na ananipenda sana ila tatizo alikuwa ananuka mdomo halafu anapendaje romance. .[emoji23][emoji23][emoji23] kila nikimwambia kwa mafumbo hanielew, ikabid nibwage manyanga. Dada zetu mjirekebishe bhana kuna vitu vinatukera sana wanaume ila tunaona soo kusema kuna mpk wanuka K akivua nguo tu chumba kizima hakifai
 
1. Wivu
2. Ub abaifu
3. Mchoyo
4. Nilijisikia tu
5. Nilimchoka
6. Dume Suruali
hivyo vingine nadhan ilikuwa vya ziada, ila kubwa ni mwanaume suruali. Angekupa pesa usingemwacha
 
siku nyingine uchangamkee uache ukoroo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…