Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Nataja ninazokumbuka

- Kuna aliejazwa hofu na wachungaji wa kilokole kuhusu mapenzi kabla ya ndoa kufunga maisha ya mtu. Hapo tayari tushakuwa having sex kwa zaidi ya mwaka ndio analeta habari hizo ongeza na nilikataa kumpa mil kadhaa kwa ajili ya biashara yake nilivyoona analeta maluweluwe.

- Kuna wa vibomu kila siku chache.

- Kuna wengine walikuwa binti wazuri tu ila nikaachana nao nisiwapotezee muda kwani wanataka marriage na mimi hilo silioni bado.

- Kuna mmeru mmoja huyu kwa kweli alinitingisha mimi. Ilibidi nipate therapy maana dah. Hadi leo najiulizia ni mimi yule wa kukosa usingizi kisa msichana dah! Haha

- Wengine wa short term na kuchokana tu so unapotea katika picha taratibu bila ugomvi.
 
He was a notorious cheater
 
Hii imenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mi nliachana na mwanamke nliekuwa nae mwanzoni coz mlikuwa mkiwa kwenye game yan tangu mnapoanza shughuli mpaka mnamaliza yeye ni kuachia mashuzi tu, mh nikaona huyu atakuja kuninyea bure siku moja ikabid nimpige chini
 
[emoji23][emoji23][emoji119]
 
mi nliachana na mwanamke nliekuwa nae mwanzoni coz mlikuwa mkiwa kwenye game yan tangu mnapoanza shughuli mpaka mnamaliza yeye ni kuachia mashuzi tu, mh nikaona huyu atakuja kuninyea bure siku moja ikabid nimpige chini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aisee itakuwa alikuwa analiwa tgo
 
Wakati ulitegema akurushe maji kidogo
 
Ukiwa umewaacha kama 100 hivi? nA Hakuna cha kukumbuka?
 
kaka nilimchunguza mpaka tigo wala hakuwa analiwa ila sas ni alikuwa anajamba huyo nyenyere akasome
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee hatari sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…