Kwani K unaitoa baada ya muda gani mkuu?Hapana tulikua bado hatujafikia kweny mambo ya k....ndo tulikua tuna mwezi tu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]mi nliachana na mwanamke nliekuwa nae mwanzoni coz mlikuwa mkiwa kwenye game yan tangu mnapoanza shughuli mpaka mnamaliza yeye ni kuachia mashuzi tu, mh nikaona huyu atakuja kuninyea bure siku moja ikabid nimpige chini
Mchongo umeshatiki au[emoji23][emoji23]"Kuna mchongo nauskilizia" hii kauli ilinipeperushia dem hivihivi. Dah umaskini mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka nilimchunguza mpaka tigo wala hakuwa analiwa ila sas ni alikuwa anajamba huyo nyenyere akasome
Mhh huo ni ujinga wallah....Bora alikwendaIla ni vizuri alikua mkweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Mwezi tu mkuu uwez[emoji119]Me kusema kweli hua najipa muda na kuvaa chupi ya chuma. kwanzaKwani K unaitoa baada ya muda gani mkuu?
Maana hata huo mwezi mzima mie siwezi kusubiri.
Been There [emoji24][emoji23][emoji23]Mimi ilikuwa kutwa mara 3,Angenizeesha yule aisee! Alikuwa hataki kabisa niende kazini.....Usiku ndio kabisaaa,sijui alikuwa jini mahaba yule.
Daaah, basi mie nikizungushwa wiki 1 tu sitaki tena nasusua.Mwezi tu mkuu uwez[emoji119]Me kusema kweli hua najipa muda na kuvaa chupi ya chuma. kwanza
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Me nlikua na jamaa mmja basi siku kaja nyumbani kwangu tukala akasepa.....badae akanitumia sms ety me siwezani na mm kwanza hatuendani we mwenzangu umepanga nyumba kubwa siwez hata kukulipia pesa ya kodi miez minne......eeh nkasema lahaula lakwata
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ulionyesha ufala kumpa hiyo helaNiliachana na demu wangu wa kimeru alikuwa pisi Kali kweli ana tako alipotezaga simu yake akaomba nimchangie laki moja akanunue, Mimi nikamwambia nataka sex ndio natoa hela bila Hilo hapana, demu akasema ukajitambulishe Kwanza kwetu ndio nipo tayari kusex naww nikamuuliza lini nikajitambulishe akasema wa 4,eeh bwana si nikatoa hela baada ya kuipata tu demu akaniambia hayupo tayari kuolewa na Hana hisia na Mimi wakati nimemuhudumia vitu kibao
MmmhJimbo lishachukuliwa... Yani nkiachwa asubui jioni napata babe mpya
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Utaachwa sana,Endekeza UBAHILINilikuwa bahili nikaachwa
Kwani ulikuwa ni mke wake mpaka usema kuwa ni cheater? Kama hampo kwenye ndoa it can never be called cheatingHe was a notorious cheater
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mi nliachana na mwanamke nliekuwa nae mwanzoni coz mlikuwa mkiwa kwenye game yan tangu mnapoanza shughuli mpaka mnamaliza yeye ni kuachia mashuzi tu, mh nikaona huyu atakuja kuninyea bure siku moja ikabid nimpige chini