Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

mi nliachana na mwanamke nliekuwa nae mwanzoni coz mlikuwa mkiwa kwenye game yan tangu mnapoanza shughuli mpaka mnamaliza yeye ni kuachia mashuzi tu, mh nikaona huyu atakuja kuninyea bure siku moja ikabid nimpige chini
[emoji23][emoji23]
 
wanawake wengi sana waliniacha pasipo sababu za msingi na wengi wao ni tama ya vitu vizuri
wengine waliondoka na sasa wamerudi najipigia tu natulia wengine ndo ivyo wanajutia

ila kwa upande wangu nimeumizwa sana na mapenzi ila sikuizi napiga na kupiga chini
 
"Kuna mchongo nauskilizia" hii kauli ilinipeperushia dem hivihivi. Dah umaskini mbaya
 
Me nlikua na jamaa mmja basi siku kaja nyumbani kwangu tukala akasepa.....badae akanitumia sms ety me siwezani na mm kwanza hatuendani we mwenzangu umepanga nyumba kubwa siwez hata kukulipia pesa ya kodi miez minne......eeh nkasema lahaula lakwata

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Nyumba ulopanga ilimtisha akahisi invoice zako zitampasua kichwa [emoji23][emoji23]

Ila alikosea kuaga mashindano kabla ya kuichakata mbususu
 
Niliachana na demu wangu wa kimeru alikuwa pisi Kali kweli ana tako alipotezaga simu yake akaomba nimchangie laki moja akanunue, Mimi nikamwambia nataka sex ndio natoa hela bila Hilo hapana, demu akasema ukajitambulishe Kwanza kwetu ndio nipo tayari kusex naww nikamuuliza lini nikajitambulishe akasema wa 4,eeh bwana si nikatoa hela baada ya kuipata tu demu akaniambia hayupo tayari kuolewa na Hana hisia na Mimi wakati nimemuhudumia vitu kibao
Ulionyesha ufala kumpa hiyo hela
 
mi nliachana na mwanamke nliekuwa nae mwanzoni coz mlikuwa mkiwa kwenye game yan tangu mnapoanza shughuli mpaka mnamaliza yeye ni kuachia mashuzi tu, mh nikaona huyu atakuja kuninyea bure siku moja ikabid nimpige chini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom