Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Demu Wangu mie alizidi uchafu wa sehemu za siri na alikuwa hapendi kujituma. Hapendi kufanya kazi, lazy, mbea, kila kukicha yuko facebook na Insta kujibandika mapicha wakati hana issue yeyote. Anaweza piga mswaki sasa hivi, baada ya dakika 10 huwezi ongea naye jinsi anavyotoa harufu kama vile kala mavi.
 
mkuu,si ungemuonjesha tu.
 
Kuthibitisha ni story ndefu ila ukweli ndiyo huo....toka niko mdogo Mama alikuwa ananiambia mademu wa kuwaepuka, Wachagga, mademu wa Tanga, Kigoma. Baada ya kukua na kuona matukio nimeamini maono ya Mama kipenzi.
wachaga unawasingizia...nimezaliwa uchagani na nimekulia uchagani lkn kule hakuna mambo ya ushirikina mkuu.
 
haumtafunagi?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nishakutan nao maduu wa hivo huwa napunguza appetit tu bac nakucha pole xanaa
 
Halooo wewe ni mukenya au chalii Wa ngongongare(ngurdoto)?
 
Asee eroo kama ni hivyo uli react vizuri...poa haina pang'ang'a but ile kikawaida utakua unaumia ile kisoro asee...anyway uko wapi tupeane angalau kirikuu cha safari maana na mimi nina maumivu ki keii yaani...Njoo Usa riva joooh
Mkuu vuka juu huku tuungane kuwaona watoto Wa kisabato
 
Hapana!!! Hakua mkweli!!! Sikumuamini... Yaani ni yule mtu akikwambia kumekucha inabidi uchungulie nje kuhakikisha.
Hahahaa..... Dah. Ndio mzuri huyo umemjua. Sio wale unawaamini halafu kumbe hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…