tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
- Thread starter
- #201
so baada ya kumuacha,nini kilifuata?alikua fala, anashkiliwa akili na best zake, upuuzi anaoshauriwa huko kuhusu wanaume anakuja kureact kwangu, 2nagombana.. nkaona icwe tabu endelea kuskiza hao mabest.. mtu mzima ila hajitambui. yani kwa kifupi ni alikua fala.
asante.