Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

alikua fala, anashkiliwa akili na best zake, upuuzi anaoshauriwa huko kuhusu wanaume anakuja kureact kwangu, 2nagombana.. nkaona icwe tabu endelea kuskiza hao mabest.. mtu mzima ila hajitambui. yani kwa kifupi ni alikua fala.

asante.
so baada ya kumuacha,nini kilifuata?
 
Nyama ilikuwapo ndani ya jokofu ustadh.zagazaga zote zilikuwapo.na nlishamwambia ndizi bila nyama ni mwiko.lakini akawa analeta dharau.mila na ziheshimiwe,utanpikiaje ndizi salad na mi sio vegan umeambiwa mie mkamba.
Eroo mama si alikua anajaribu kuonyesha mautundu asee, dah kweli una msimamo
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
Nimempiga chini karibuni kwa kupenda sana pesa, yaani miradi yangu ikwame eti nahudumia mwanamke ambaye Hata sina uhakika wa kumuoa.

Nikamwambia akawe girlfriend wa bank sipendagi ujinga mm wa kukaa na kupe
 
Aligoma kunyonya dushe siku ya kwanza tu nikamtema maana sikuona haja ya kuwa na mtu ambaye sitakuwa na furaha nikiwa naye japokuwa anadaigi kuwa kwa sasa anaweza nyonya sasa nikawa najiluliza alianza kunyonya ya nani.
mimi kuna kamoja kalikua kananinyima ngada nikakatema sasa hivi kanataka kurudi nikakaambia unakumbuka kwanini tuliachana? akasema sasa hivi ntakupa.. sasa jiulize ameanza kumpa nani mpka sa hv awe komfotabo kunipa mim [emoji23] [emoji23] [emoji23]

utani 2.
 
1.Sikuwa msabato
2.Tulihama kifamalia sikuchukua wala kumuachia mawasiliano yangu na yake after 8yrs nikapata mawasiliano nae nlipo mrudisha nyuma hakuwa tayar kabisa
 
Back
Top Bottom