Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Pole sana.

Aliniambia kuwa sijawahi kumkosea hata kidogona anajua kuwa nampenda sana kuliko chochote ila ameamua kuwa na mwanamke anaempenda zaidi kuliko mimi....It was very painful to me but I had to accept the fact for the sake of his happiness.
 
Nilimtafutia tempo sehemu halafu yule bosi wake akamchapa..nikamuuliza akasema si kweli nikaona poa ila badae nikapata evidence ya sms kwenye simu yake...akawa hana pa kutokea nia yangu ilikua nimsamehe yaishe ila nilipomuuliza ninikilimfanya anifanyie hvyo jibu alilonipa likanifanya nimteme on the spot
Alinijibu kuwa jamaa alikua anampatia pesa nyingi so akichanganya na ninazo mpa mm zinakidhi mahitaji yake..[emoji51][emoji51]alikula kikono cha shilawadu mpk leo
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichomoa mbavu mwenzio
 
Penzi ,nilimnyima penzi ,kila alipojaribu kunilala nilimwambia silali nawewe bila ndoa ,aliniacha nkalalwa Siku ya matokeo na mimba na ndoa ikafuatia,
 
Kwa sababu Alienda chuo bc Ikawa ndio too much wandugu c mnajua ya Chuo mengi
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Anaogopa kusema ukweli maana tumohumu wote na tunafahamiana ,Ila namuombea baba Yake awe ametulia
 
Back
Top Bottom