jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Ok nimekupata mkuu asanteSikia jje's sie wanaume tuko tofauti sana na nyie kina Mama japo mnatusingizia kuwa hatuna huruma. Ni vigumu sana kwa mwanamme kumfukuza mwanamke ndani ya nyumba yako kama ni mpenzi wako na amekutembelea. Mimi nilikuwa nafanya vitu kwa vitendo hoping atashikwa na haibu ila wapiiiii.