Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Sikia jje's sie wanaume tuko tofauti sana na nyie kina Mama japo mnatusingizia kuwa hatuna huruma. Ni vigumu sana kwa mwanamme kumfukuza mwanamke ndani ya nyumba yako kama ni mpenzi wako na amekutembelea. Mimi nilikuwa nafanya vitu kwa vitendo hoping atashikwa na haibu ila wapiiiii.
Ok nimekupata mkuu asante
 
alikuwa ananitishia mara kwa mara kuniacha nikaamua kumpiga chini mazimaaa....baadae akaanza kulia et alikuwa ananipimaaa
hahahahahh hiyo kitu hapo kwenye avanta inapatikanaje mkuu?

nimeimisi ujueeee
 
hahahahahh hiyo kitu hapo kwenye avanta inapatikanaje mkuu?

nimeimisi ujueeee
inapatikana kwa wingi kaskazin mwa Tz kibororoni, machame, kishumundu, kibosho na maeneo yaliyo karibu na hayo maeneo tajwa hapo [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
inapatikana kwa wingi kaskazin mwa Tz kibororoni, machame, kishumundu, kibosho na maeneo yaliyo karibu na hayo maeneo tajwa hapo [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
waoooo, nitaifata very soon nisikie kaharufu tu maana hata situmii ujue

kikikikikkkk
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
nyama ulipeleka akagoma kupika?
 
Alikuwa hataki niwe karibu nae tuzungumze na kufanya mawili matatu yanayotuhusu! Akiwa ana shida anakuwa mpole wa kunilegezea sauti na unyenyekevu uliotukuka, lakini baada ya kumsaidia ananisahau kabisa mpaka inafika hata week. Siku moja nilimuomba mchezo akawa mkali zaidi ya mbogo aliyejeruhiwa na sime! Nikamvumilia! Juzi nikamuona kapakiwa kwenye shangingi na mtanzania mwenzangu mmoja hivi. Basi bwana nikavunga ingawa niliumia sana....sasa Jana akaja kuniomba msamaha na nikajikuta namkubalia.....sasa Leo anasema anashida na 30000/= sasa hivi nimpe au Nipige chini?
mpe halafu mpige chini
 
Kuomba hela
Kupenda kuchezea simu yangu
Hapendi niende kulisakata Twanga
Mchawi
Mfupi halafu keusi sana
K ilikuwa ina emmit radiation za hatari
Alikuwa polisi pale sentro so ananitisha tisha kuniweka ndani
ha ha ha
 
Me huwa napendwa xna na marafiki zake demu wngu so najikuta nageukia upande wa pili cku akigundua tu tunaachana naendelea na yule rafiki yake na yeye akianza kunitambulisha kwa rafiki zake wengne wanadata tena napiga hadi nimewachoka sada
 
Back
Top Bottom