Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

lkn mkuu..kubali tu kuwa huyo demu ulikua umemchoka.hakuweka nyama maybe alikua anajaribu kubana matumizi.
Mkuu mbona nshaweka wazi kuwa alishazingua sana,so hilo la mwisho lilikuwa ndo funga kazi a.k.a last straw.but ni zamani sana.now tumerudisha urafiki,na amestaarabika sana skuizi
 
kwa hiyo saiv huwa unamtafuna kisela au ndio urafiki wa kaka na dada?
 
Hahah kaolewa saiv mkuu,na kutafuna nke ya mtu ni marufuku kwangu hata awe mzuri namna gani.so tumebaki kaka na dada tu,tunasaidiana mambo mengine yasiokuwa ya kimwili.
 
ulishawahi kumkumbushia la kukupikia ndizi bila nyama?
 
Aah ni kitambo sana,na sio jambo ninalojivunia nalo.so si vyema kulikumbushia,sababu wote tulikuwa tuna makosa.ujana una mambo ndugu yangu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
ila ishu yako imenichekesha sana mkuu
Mi mwenyewe nkikumbuka nabaki kucheka tu.waswahili wanasema ujana maji yamoto,japo japo ningalikijana lakini saivi maji yamekuwa saivivugu si yamoto sana
 
Back
Top Bottom