Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

"Kuchapiwa ni siri ya ndani" ILINISHINDA
 
Nilivyo kwenda jeshini TPDF nilivyokaa kwa mda wa mwaka mmoja na nusu narudi kitaa nikiwa luteni wa jeshi nampigia cm mchumba akaniambia sitaki tena kuolewa na ww nikamwambia sababu nini akasema nyinyi wanajeshi ni wakatili sana naogopa utaniuwa nikikosa kidogo tu utanipa maadhabu ya kijeshi ctaki unioe tafuta mwanamke mwengine dah niliumia sana nw yuko UDSM anamalizia shule yake ya uwanasheria....[emoji23] [emoji23] [emoji23] chombo kilinifanya ndege wangu nimkose apeperuke[emoji2] [emoji2] [emoji2] ila now life goes on...
 
Ninavyowapensa wajeda sasa...alilililiiiiiiiiiliili
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kweli kabisa aisee the magic is no longer there.

hakuna kitu kibaya kama kurudiana na ex wako ...kitu gani kipya kakiona kwako wakati mkiwa wote hakukiona? Mara nyingi ukiona watu wamerudiana wanaenda kulipiza visasi ...na mim siwezi kwenda kulipiza kisasi ...nimejifunza kumwacha aende..
 
Ahsante sana tang'ana kwa kuleta thread hii.

Nimesoma maoni ya wadau tangu mwanzo hadi mwisho.

Mi natarajia kumwacha soon maana

1.Hana challenge yoyote kwangu.
2. Anachotaka ni ngono tu
3. Ananizidi kipato
4. Ananizidi umri-miaka 3
4. Akikosea nikamwambia ananikasirikia ile mbaya.
5. Kichwani hakuna kitu, nahofia atanizalia mitoto mijinga mijinga.
6. Bado anapicha za ex wake ila hana zangu.

Itanichukua muda kupata mwingine BUT NO WAY
 
Nimeachana nae juzi hapa dah we acha tu mtoto hataki kuongozana nami so nikamuweka kitako kakasirika hatak kuongea, kanijibu kejeli na kuondoka gheto hadi sasa namba yake nishafuta ila inaniuma mnooo
Bango
 
Kuna siku huyo ex wangu aliniomba hela ya kusukia. Wakati ananiomba nilikuwa mkoa tofauti na tunapoishi nikamwabia nimesahau ATM yangu mza subiri baada ya siku 3 nkirudi ntakutumia nkamueleza nilikuwa na kiasi kidogo tu kisingetosha kwa mizunguko niliyokuwa nayo nkimtumia. Kesho yake nilipompigia akaanza dharau ooh wenzio washanitumia hela ya kusuka na picha ukitaka nakutumia whatsapp. Wakati najieleza nkasikia akinisonya kwa sauti ya chini na kusema "go to hell". Alidhani sitayasikia lakini nikawa nimesikia nikasema whaaaaaaat?!! Akasingizia ni maneno ya kwenye movie. Mi nkamuuliza movie gani hiyo hebu ongeza sauti nisikie mbona alihaha akaanza halooo halooo mtandao unasumbua! Tangu siku hiyo nilimuona mtu asiyenifaa ktk maisha yangu hasa ndoa kwani tulipanga kuoana mwezi wa 7 mwaka huu. Nilimpotezea mazima japo alipiga simu sana kuomba msamaha nkampotezea mazima mpaka leo.
...kunawatu wanamizigo...
 
Ahsante sana tang'ana kwa kuleta thread hii.

Nimesoma maoni ya wadau tangu mwanzo hadi mwisho.

Mi natarajia kumwacha soon maana

1.Hana challenge yoyote kwangu.
2. Anachotaka ni ngono tu
3. Ananizidi kipato
4. Ananizidi umri-miaka 3
4. Akikosea nikamwambia ananikasirikia ile mbaya.
5. Kichwani hakuna kitu, nahofia atanizalia mitoto mijinga mijinga.
6. Bado anapicha za ex wake ila hana zangu.

Itanichukua muda kupata mwingine BUT NO WAY
Mmmh.umepata muda wa kuwaza hayo yote?? Nngeshakula kona kitambo. Picha za x wake za nini sasa?
 
Mm dem wang alikuwa anapenda san 2toke out kila mara k2 ambayo inaninyima raha ya kufanya kaz zang
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom