kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,470
- 1,352
Kweli wewe Malingumu,..simu....
alikuwa anapenda kupigiwa simu ila yeye hapigi...usipompigia anakasirika.
Ni kiburi tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe Malingumu,..simu....
alikuwa anapenda kupigiwa simu ila yeye hapigi...usipompigia anakasirika.
Ni kiburi tu...
Ninavyowapensa wajeda sasa...alilililiiiiiiiiiliiliNilivyo kwenda jeshini TPDF nilivyokaa kwa mda wa mwaka mmoja na nusu narudi kitaa nikiwa luteni wa jeshi nampigia cm mchumba akaniambia sitaki tena kuolewa na ww nikamwambia sababu nini akasema nyinyi wanajeshi ni wakatili sana naogopa utaniuwa nikikosa kidogo tu utanipa maadhabu ya kijeshi ctaki unioe tafuta mwanamke mwengine dah niliumia sana nw yuko UDSM anamalizia shule yake ya uwanasheria....[emoji23] [emoji23] [emoji23] chombo kilinifanya ndege wangu nimkose apeperuke[emoji2] [emoji2] [emoji2] ila now life goes on...
Aa wapi nimepata pumziko la mileleLakini bado unammis
hakuna kitu kibaya kama kurudiana na ex wako ...kitu gani kipya kakiona kwako wakati mkiwa wote hakukiona? Mara nyingi ukiona watu wamerudiana wanaenda kulipiza visasi ...na mim siwezi kwenda kulipiza kisasi ...nimejifunza kumwacha aende..
...kunawatu wanamizigo...Kuna siku huyo ex wangu aliniomba hela ya kusukia. Wakati ananiomba nilikuwa mkoa tofauti na tunapoishi nikamwabia nimesahau ATM yangu mza subiri baada ya siku 3 nkirudi ntakutumia nkamueleza nilikuwa na kiasi kidogo tu kisingetosha kwa mizunguko niliyokuwa nayo nkimtumia. Kesho yake nilipompigia akaanza dharau ooh wenzio washanitumia hela ya kusuka na picha ukitaka nakutumia whatsapp. Wakati najieleza nkasikia akinisonya kwa sauti ya chini na kusema "go to hell". Alidhani sitayasikia lakini nikawa nimesikia nikasema whaaaaaaat?!! Akasingizia ni maneno ya kwenye movie. Mi nkamuuliza movie gani hiyo hebu ongeza sauti nisikie mbona alihaha akaanza halooo halooo mtandao unasumbua! Tangu siku hiyo nilimuona mtu asiyenifaa ktk maisha yangu hasa ndoa kwani tulipanga kuoana mwezi wa 7 mwaka huu. Nilimpotezea mazima japo alipiga simu sana kuomba msamaha nkampotezea mazima mpaka leo.
Mmmh.umepata muda wa kuwaza hayo yote?? Nngeshakula kona kitambo. Picha za x wake za nini sasa?Ahsante sana tang'ana kwa kuleta thread hii.
Nimesoma maoni ya wadau tangu mwanzo hadi mwisho.
Mi natarajia kumwacha soon maana
1.Hana challenge yoyote kwangu.
2. Anachotaka ni ngono tu
3. Ananizidi kipato
4. Ananizidi umri-miaka 3
4. Akikosea nikamwambia ananikasirikia ile mbaya.
5. Kichwani hakuna kitu, nahofia atanizalia mitoto mijinga mijinga.
6. Bado anapicha za ex wake ila hana zangu.
Itanichukua muda kupata mwingine BUT NO WAY
Nilijidai mjinga nikijua labda atashtuka lakini ujinga umefika mwisho.Mmmh.umepata muda wa kuwaza hayo yote?? Nngeshakula kona kitambo. Picha za x wake za nini sasa?
Sawa. Username yako inaleta jibuNilijidai mjinga nikijua labda atashtuka lakini ujinga umefika mwisho.