Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

Si mechi rahisi hata kidogo, tukiambulia sare ni jambo kubwa saana kwetu, tutafute goli lakini tulinde mnoo.

Tukioata sare hapa, kisha huyu kenge akaja kufa dar, na yuke mpumbavu us akaja kufa dar, ndio tushapenya.

Kule mimosas tunaenda kucheza sisi mashabiki wa msimbazi humu jf.
 
Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
Kwani ujaenda kufanya umafia wako wa kuwafunga miguu wachezaji wa berkane? Au umafia uwa unaufanya kwa mkapa tu mkuu? Nafikiri wangekuandalia bajeti yako na wewe uwe unasafiri nao kufanikisha mambo kama ayo maana ndo nguvu mliyobaki nayo kutegemea kubustiwa na nguvu za giza🤣🤣🤣🤣
 
Hivi mnapata wapi guts za kujadili mpira na dunia iko kwenye taharuki ya kinachoendelea Ukraine..🤣🤣
 
Hivi mnapata wapi guts za kujadili mpira na dunia iko kwenye taharuki ya kinachoendelea Ukraine..[emoji1787][emoji1787]
Ile Taharuki na mauaji yalikuwa yakifanyika Libya, Iraq na Afrighanstan mambo mengine yalikuwa hayaendelei na kujadiliwa? Sisi tunasuburi Biriani la Simba SC..Huko wacha wauane tu vita mbona tamu yaani..!
 
Ile Taharuki na mauaji yalikuwa yakifanyika Libya, Iraq na Afrighanstan mambo mengine yalikuwa hayaendelei na kujadiliwa? Sisi tunasuburi Biriani la Simba SC..Huko wacha wauane tu vita mbona tamu yaani..!
Ila leo mmmh..tuombe tu Mungu
 
Naamini siku zote mpira ni dakika 90 na lolote linaweza kutokea kwani hata wao si kwamba wanaona mechi hii ni rahisi...la hasha.
Kama wale vibonde walipata magoli ugenini kwanini sisi tushindwe.
 
Sasa hivi serikali ya morocco imeruhusu mashabiki warejee uwanjani kama kawaida. Juzi Raja cassablanca kamtoa kafara Horoya..uwanja ulikuwa umetapika balaa . Simba tusiiapproach game kwa lengo la ku-defend tunaweza tukala nyingi
 
Hali haitakuwa nzuri, km Simba waliruhusu goli la kizembe kwa wale watoto wa Niger naona leo wanatakiwa kuongeza umakini kwa kiasi kikubwa sana hasa mabeki vinginevyo...
 
Back
Top Bottom