Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

Hivi mnapata wapi guts za kujadili mpira na dunia iko kwenye taharuki ya kinachoendelea Ukraine..[emoji1787][emoji1787]
Watu wameamua kuua wenzao na wamepata mashabiki uchwara Tanzania ambako wanajisifu kupenda Amani? Halafu unataka Sisi tuache kushabikia soka wakati mashabiki wa Vita Wanakula Raha.
 
Leo kwakweli ni siku mbaya sema tujitahidi tupate sare au tukifungwa iwe kwa margin ndogo.
 
Hala hala...Wawa asianze hii game atakuja kuchomesha vibaya.Hawa wamorocco wanakimbia kwa kasi sana na kwa jinsi ninavyomjua wawa ni wazi atakuja kuchomesha
 
Simba anashinda 2-1 tutafutane baada ya mechi
 
Berkane piga hao mikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom