Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
MEMKWAA.jpg
 
Huyo kocha alishasomea hiyo kozi anachosubiri ni hicho cheti tu, kwenye game za CAF atakuwepo kwenye benchi.

E. Kamwaga.
 
Na huyo huyo Kocha ndiyo kawabeba Wanaume wazima mkasubiri kubebwa kama Watoto yatima na Kocha wenu mwenye uprofesa wa kina Maji Marefu
Sawa Rais wa TFF na kamati yako tendaji ila hili la makocha wa kuchezesha daraja la kwanza kuja Kuchezesha ligi kuu kwenye ligi mliaangalie upya

Kama timu lengo lake ni kulipa mshahara mdogo basi wachukue makocha wa hapa hapa nchini Coz haina haja ya kuchukua kutoka nje
Ahsante
 
Back
Top Bottom