Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

Baada ya kuona makocha wote hawana vigezo vya kukaa kwenye benchi la timu Champions league

Kocha mpya msaidizi katambulishwa pale Msimbazi ambaye atakuwa kwenye Bench la timu wakati Gomez yupo jukwaani

Matola ameenda shule tena
Mkuu aliyetambulishwa ni kama msaidizi kwenye mechi atakaa kwenye benchi la ufundi kama kocha mkuu halafu Gomes anakuwa msaidizi ,wote watakwepo kwenye bench Gomes atakaa kama msaidizi maana kuwa kama msaidizi vyeti vinaruhusu
 
Hata aibu hawaoni,na Jumapili wanakwenda kututia aibu ya mwaka kwa kipigo cha haja kutoka kwa Rivers
mpelekeni Chuck Norris shule nyie memkwa
Sasa sijui unataka tuwape Pole unalazimisha?😀😀😀
 
Mkuu aliyetambulishwa ni kama msaidizi kwenye mechi atakaa kwenye benchi la ufundi kama kocha mkuu halafu Gomes anakuwa msaidizi ,wote watakwepo kwenye bench Gomes atakaa kama msaidizi maana kuwa kama msaidizi vyeti vinaruhusu
Gomez apelekwe shule sasa
 
Back
Top Bottom