Usikubali kuwa yatuma wa mapenzi, love's a beautiful thing, usikubali kabisa mkuu...Inawezekana tulipo active sana humu ndani ni mayatima wa mapenzi.
Inawezekana ujue, mtu j tatu mpaka j tatu muda wote upo active, huu siyo u yatima wa mapenzi kweli Mamy? 😂Nani kasema 😜
Nakumbuka,wakati ule wa vurugu ya uchaguzi,ilipozimwa Internet huko,ule muda ndio tulijuana wabeba box halisi,coz tulibaki wacheche sana humu JF.Siku watu wakasema wana jf wengi wanatumia intaneti data za ofisi, wikiendi wanakuwa hapa wa kuhesabu, kesho Jumatatu kama wote.
Upi huo kwaniWengine tumechangamshwa na uzi wa Miss Natafuta
Hata hapa nachati nikiwa kifuani kwa mtu 😝Inawezekana ujue, mtu j tatu mpaka j tatu muda wote upo active, huu siyo u yatima wa mapenzi kweli Mamy? 😂
Au wenzetu usiku wa manane ndio huwa mnapenzika kama wanga.
Raha ujueNdio tokea asubuhi aisee! Sio noma kweli?
Tulifika zaidi ya hapo kidogo.Mlifika hata 10 kweli!
tulio singo mnatushonishia?Tunabebika
Inategemea ni mtu ganiMimi navyo penda kukaa peke yangu siwezi maliza zaa mbili na mtu bila kujisikia vibaya
Kunyweni maji mlaletulio singo mnatushonishia?