Aloo 😂😂 , ngoja niwe mvumilivu huenda ukakosea ku-type ukianza kuchombezwa.Hata hapa nachati nikiwa kifuani kwa mtu 😝
daaah maji menyewe machungu mdomonKunyweni maji mlale
KabisaaInawezekana tuliopo active sana humu ndani ni mayatima wa mapenzi.
Mtoa mada alitaka paweje?????
Siku zote pawe pamepoa hivi hivi...Mtoa mada alitaka paweje?????
Si apachangamshe yeye sasa!!
Anaonekana anapenda umbea na vurugu vurugu tu huyo!Siku zote pawe pamepoa hivi hivi...
Zile siku wamatumbi tuliteseka sana aiseeNakumbuka,wakati ule wa vurugu ya uchaguzi,ilipozimwa Internet huko,ule muda ndio tulijuana wabeba box halisi,coz tulibaki wacheche sana humu JF.
Labda ndio hio kusema family day.Ila miaka yote niliyoishi Jf siku za weekend huwa jukwaa linapoa sana labda kuwe na matukio makubwa ya kitaifa.
Nilijua fulu.