Leo kwa kiasi fulani hapa JF pamepoa sana

Siku watu wakasema wana jf wengi wanatumia intaneti data za ofisi, wikiendi wanakuwa hapa wa kuhesabu, kesho Jumatatu kama wote.
Nakumbuka,wakati ule wa vurugu ya uchaguzi,ilipozimwa Internet huko,ule muda ndio tulijuana wabeba box halisi,coz tulibaki wacheche sana humu JF.
 
Hizi timu mbili, ningekuwa na uwezo ningezifuta tu, zimechukua kila kitu cha mtanzania wa kawaida, kuanzia nywele hadi ubongo.
Kulikua hoja kwamba zipitishwe kuwa utamaduni wa Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…