Leo kwa kiasi fulani hapa JF pamepoa sana

Usikubali kuwa yatuma wa mapenzi, love's a beautiful thing, usikubali kabisa mkuu...
Unadhani kuna anae penda basi , unajikuta tu yatima bila kutaka.
 
Ila miaka yote niliyoishi Jf siku za weekend huwa jukwaa linapoa sana labda kuwe na matukio makubwa ya kitaifa.
 
Ila miaka yote niliyoishi Jf siku za weekend huwa jukwaa linapoa sana labda kuwe na matukio makubwa ya kitaifa.
Labda ndio hio kusema family day.

Ila leo kulipoa sana aisee.

Siku za kawaida unaweza kuta notification mpaka 500 kwa nusu siku , ila leo tokea asubuhi had saa saba notification 12!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…