Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

Ungeshuka tu sasa unateseka moyo kisa nauli ya mwendokasi kutoka Korogwe hadi Kimara? Hata kama nauli ya kwenda huko Matosa ingepungua sio mbaya ungetembea kwa mguu kutoka Korogwe hadi Kimara maana ni karibu tu lakini namba ungekuwa nayo.

Ila mzee wewe muoga sana. Na pakuanzia ulishapata ila umezembea sana.
Kick ya kuanzia ameanza nayo vizuri ila kafeli mwishoni kabisa
 
Kick ya kuanzia ameanza nayo vizuri ila kafeli mwishoni kabisa
Extrovert utanilaum sana maana alikuwa kachoka sana muda mrf alikuwa anasinzia..hesabu zangu zilikuwa kama angekuwa anaenda mbezi pale Kimara mwisho tungesumbuana sana. Ila nimeshamkariri. Ni mzuri sana.
 
Hahahahah usifanye masihara kutembea 20KM na jua la utosi😂😂😂
Ukishapata namba zoezi la uchakataji linakuwa limekamilika kwa zaidi ya 50% ile hamasa 20 KM inaisha ukijiona unachoka unapiga picha jinsi utakavyoichakata utatembelea hata magoti ilimradi ufike🤣
 
Ukishapata namba zoezi la uchakataji linakuwa limekamilika kwa zaidi ya 50% ile hamasa 20 KM inaisha ukijiona unachoka unapiga picha jinsi utakavyoichakata utatembelea hata magoti ilimradi ufike🤣
😂😂😂😂😂😂
 
Anajifanya anajog........🤣🤣


Wanaume tuna kazi sana,hawa viumbe hawajui tu
Hapo umepatia, mimi siku zote mguuni huwa navaa raba tena zenye soli nzuri kwa mazoezi, kuna kipindi nilikuwa sina nauli basi ikifika jioni nazuga nafanya mazoezi...mdogo mdogo unafika😁
 
Hapo umepatia, mimi siku zote mguuni huwa navaa raba tena zenye soli nzuri, kuna kipindi nilikuwa sina nauli basi ikifika jioni nazuga nafanya mazoezi...mdogo mdogo unafika😁
Kwa dsm rahisi sana, mtu anaweza kukuona Manzese akajua labda unaenda tu urafiki, wa urafiki akajua unaingia ubungo plaza mara moja....kumbe ni safari ya Kimara hiyo
 
Sasa umechezea bahati mwenyewe kumbe ..Nauli na kufukuzia mzigo havihusiani ungemfuata huenda angekuelewa ukapata na pakumuzikia leo

#FALCON
 
Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana.

Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota matairi. Kufika Fire(faya) mtu aliyekuwa amekalia kiti akashuka nikajisemea acha nami nikae. Ile nageuka nyuma niangalie kama kuna mzee nimpe hicho kikalio aketi tobaa nikakutana na dada mweupeee sura ina vichunusi hivi. Nikajisemea haya
Yani boyfriend wako anakwambia weka laini ya airtel akupigie. Sasa kwenye harusi yenu tutashiba kweli?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom