Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

huyo ushampoteza boya ww..

uliona nn kushuka nae??

imeisha iyo
 
Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana.

Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota matairi. Kufika Fire(faya) mtu aliyekuwa amekalia kiti akashuka nikajisemea acha nami nikae. Ile nageuka nyuma niangalie kama kuna mzee nimpe hicho kikalio aketi tobaa nikakutana na dada mweupeee sura ina vichunusi hivi. Nikajisemea haya
😆😆 fala kwel wewe.
 
Ukweli huyu Askari ni mzuri sana. Kama yoyote anayemjua mfikishie salaam. Undugu ni kusaidiana.
A see nimechekaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jf rahaa sanaaaaa
 
Polisi wa kike wa siku hizi ni wazuri na warembo, ngozi laini tofauti na wa zamani walikuwa wana sura ngumu na utisho juu. Hawa polisi warembo na laini sura zao waliwezaje kufuzu yale mafunzo yao ya ukakamavu kule Chuoni kwao Moshi? Ila wanafanya kazi zao za upolisi kwa weledi mkubwa.
 
Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana.

Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota matairi. Kufika Fire(faya) mtu aliyekuwa amekalia kiti akashuka nikajisemea acha nami nikae. Ile
Wewe...kwenye daladala WAHUNI huwa tunaandika meseji kwenye simu then tunampa muhusika asome..akikataa kutoa namba inakuwa kimya kimya..imetoka hyo

Then kumbuka zaidi ya asilimia 50% ya mawasiliano ya binadamu ni NON VERBAL
 
Hayo mambo nilishaona mtu katupiwa simu yake nje ya Bus.
 
Wewe...kwenye daladala WAHUNI huwa tunaandika meseji kwenye simu then tunampa muhusika asome..akikataa kutoa namba inakuwa kimya kimya..imetoka hyo

Then kumbuka zaidi ya asilimia 50% ya mawasiliano ya binadamu ni NON VERBAL
So hii njia katka attemp zangu zote...nimefel haifiki mara 5...ila hao madem waliokataa sikutaka kukaza tu..mm sinaga huo mda...demu akizingua instant nampotezea..
 
Huyu alitoka job maana alipandia pale Johari hotel.
Mbona sijawahi muona hicho ni kituo changu siku zote

Ila kuna pisi ina sifa zote ulizo taja huwa inakua pale kivukoni jioni hiviii
 
Huyu ni mwembamba mweupe ana vichunusi usoni jana alikuwa kavaa ushungi. Ila ukitaka Wanawake wazuri kashangae pale Shekilango jioni zinashuka za maana zinaenda Sinza.
 
Anaye randa randa Kivukoni ni mnene kiasi mweupee mrefu, Pinni ya maana.
 
Huyu ni mwembamba mweupe ana vichunusi usoni jana alikuwa kavaa ushungi. Ila ukitaka Wanawake wazuri kashangae pale Shekilango jioni zinashuka za maana zinaenda Sinza.
Zinaenda kwenye biashara ya usiku sio [emoji1][emoji1]
 
Kituo hakiitwi Johari Rotana Hotel kinaitwa Jiji au City Council alipopandia huyo bibie.
Kesho wahi mapema utulie hapo kwenye jengo la Avalon Sinema ukimsubiri.
Nalitambua hilo. Hicho kituo kinaitwa jiji. Kuna sehemu wanauza chips kwenye chemba ya choo. Kuna kibar hapo kipo sambamba na choo.
 
Sawa sawa hapo ni meeting point sio kibar, hapo travellers ndio ufanya mipango ya safari. Bia watu Wanakunywa muda wowote,supu,nyama choma na burudani. Kesho ukae nje ukishangaa wasafiri wa Kwenda na kurudi kutoka Zenji mpaka umpate huyo asali wa moyo wako.

IMG_20211013_094519652~2.jpg
 
Back
Top Bottom