Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

Kick ya kuanzia ameanza nayo vizuri ila kafeli mwishoni kabisa
 
Kick ya kuanzia ameanza nayo vizuri ila kafeli mwishoni kabisa
Extrovert utanilaum sana maana alikuwa kachoka sana muda mrf alikuwa anasinzia..hesabu zangu zilikuwa kama angekuwa anaenda mbezi pale Kimara mwisho tungesumbuana sana. Ila nimeshamkariri. Ni mzuri sana.
 
Hao mapoti sifa kubwa ni mpunga, tafuta pesa
 
Hahahahah usifanye masihara kutembea 20KM na jua la utosi😂😂😂
Ukishapata namba zoezi la uchakataji linakuwa limekamilika kwa zaidi ya 50% ile hamasa 20 KM inaisha ukijiona unachoka unapiga picha jinsi utakavyoichakata utatembelea hata magoti ilimradi ufike🤣
 
Ukishapata namba zoezi la uchakataji linakuwa limekamilika kwa zaidi ya 50% ile hamasa 20 KM inaisha ukijiona unachoka unapiga picha jinsi utakavyoichakata utatembelea hata magoti ilimradi ufike🤣
😂😂😂😂😂😂
 
Anajifanya anajog........🤣🤣

Wanaume tuna kazi sana,hawa viumbe hawajui tu
Hapo umepatia, mimi siku zote mguuni huwa navaa raba tena zenye soli nzuri kwa mazoezi, kuna kipindi nilikuwa sina nauli basi ikifika jioni nazuga nafanya mazoezi...mdogo mdogo unafika😁
 
Hapo umepatia, mimi siku zote mguuni huwa navaa raba tena zenye soli nzuri, kuna kipindi nilikuwa sina nauli basi ikifika jioni nazuga nafanya mazoezi...mdogo mdogo unafika😁
Kwa dsm rahisi sana, mtu anaweza kukuona Manzese akajua labda unaenda tu urafiki, wa urafiki akajua unaingia ubungo plaza mara moja....kumbe ni safari ya Kimara hiyo
 
Sasa umechezea bahati mwenyewe kumbe ..Nauli na kufukuzia mzigo havihusiani ungemfuata huenda angekuelewa ukapata na pakumuzikia leo

#FALCON
 
Yani boyfriend wako anakwambia weka laini ya airtel akupigie. Sasa kwenye harusi yenu tutashiba kweli?[emoji23][emoji23]
 
Yani boyfriend wako anakwambia weka laini ya airtel akupigie. Sasa kwenye harusi yenu tutashiba kweli?[emoji23][emoji23]
Sasa kama kuna unafuu wa kuwasiliana haujui km unapunguza gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…