Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

Kwa hiyo Mndengereko wa Mchukwi ukala kwa macho tu!
 
Huyo mfanyakazi wa kampuni ya cocacola unasema polisi kisa kavaa dakbluu??
 
Kwa dsm rahisi sana, mtu anaweza kukuona Manzese akajua labda unaenda tu urafiki, wa urafiki akajua unaingia ubungo plaza mara moja....kumbe ni safari ya Kimara hiyo

Hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah nimecheka sana....au ni safari ya kibaha kabisa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] this is daresalam
 
Ungeshuka Korogwe na kumdhibiti asitoke ndani kituo na wew uchukue namba huku usubiri mwendokasi nyngine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…