Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

Sasa ulishindwa nini kushuka hapo korogwe?
 
Ningekuwa mie ningeshuka kuchukua no na nauli ningemkopa
 
Ngoja na mm niwe napanda mwendokac
 
Bora wewe ulimuona wakati anashuka ila mimi kuna siku nilipitiwa na usingizi wakati nataka kuomba namba ile kuamka amekaa babu wa samaki.Usingizi noma
Jf never boring[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha ungenambia nikamsubirie tu hapa korogwe mkuu kwann uteseke hv.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Akaonea ubahili wa mia nne tu jamani[emoji26][emoji26] mimi tu natoka home nakimbia mpk mbezi na kirudi yeye kashindwa tembea mpk hapo mwisho? Hajampenda huyu... ila wanawake wa depo nasikiaga wanagawaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Bora wewe ulimuona wakati anashuka ila mimi kuna siku nilipitiwa na usingizi wakati nataka kuomba namba ile kuamka amekaa babu wa samaki.Usingizi noma
Unakuta samaki wanakichoma miiba[emoji23][emoji23] ndo sababu sipendi za kivukonio.. huulizi hilo shombo lake

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Duh asee. Wewe ulisikia wapi rafiki?
 
😆😆😆
 
sasa si ungeshuka nae umuombe namba na nauli poti mbona mzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…