Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Hawa ni mawakala wa upinzani Vwawa baada ya kuapishwa wanasema waone nani ataiba kura.

 
“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe...
upinzani mkianza kuibembeleza tena tumeccm iwatendeeni haki nahama upinzani mara moja kura nampigia jiwe. tafadhali sana sisi wananchi hatutaki tena kamwe kamwe kusikia tena ligha ya kubembeleza wala kulialia ya wapinzan.

Kama mawakala wetu hawataapishwa wote basi tunataka lissu na wenzako mtangaze shari nchi nzima sasa hivi. tunataka mtuingize rodini haraka hatutaki kusikia tena mnabembeleza mtu. msipofanya hivyo na na wakati mawakala wetu wanazuiwa na figisu nyongine zinaendelea ili kusiwepo na mwangalizi wa kura zenu basi tutahama wote kura tunampigia jiwe...fullstop.
 
Yaani hii kama itakuwa kweli watakuwa wamefanya jambo la maana sana na Taifa litawakumbuka! Hebu sema kweli mkuu? Wananchi wahamasishwe mkurugenzi atakayefanya figisu huyo anastahili kuuawa shenzy zao kabisa!
yan hiki ndiyo cha kufanya. upinzani msipotangaza hili haraka nitawashangaa sana. yan kwa kuwa wameshaanza na ushahidi upo tiyari inatakiwa na sisi tuanze nao hapo hapo hakuna kusubiri.

Nikisikia popote mpinzani anaibembeleza tumeccm itende haki na ni haki ambayo ipo kwa mujibu wa sheria yan nahama chama haraka. kura nampa jiwe fulstop.

Sitaki kusikia tena aibu hii ya kuibembeleza tumeccm. zitto maalimu Lissu tunawaambia vijana wa nchi hii tupo tiyar, tunataka jino kwa jino.
 
Jana tarehe 21 Oktoba ilikuwa ni siku ya kuapishwa kwa Mawakala wote wa vyama lakini zoezi Hilo liliibua sintohamu kiasi Cha kupelekea Mawakala 5 wa CHADEMA kupoteza uhai!

Kwamba Kuna maelekezo toka juu yalitolewa Jana hiyohiyo kubadilisha vituo vya Kuapishwa kutoka Kata kwenda Tarafa, Halmashauri na Jiji. Hii ilikuwa ni katika mbinu za NEC WAKISHIRIKIANA NA CCM na SERIKALI yao kuwanyima fursa MAWAKALA WA UPINZANI KUAPISHWA......!!!

Chanzo Cha haya yote ni kauli TATA YA RAIS MAGUFULI YA KUSEMA: Nukuu, MKURUGENZI YETOTE ATAKAYE MTANGAZA MPINZANI KUSHINDA NITAMFUKUZA KAZI.SIWEZI KUMPA MSHAHARA MKUBWA NA GARI ZURI HALAFU AMPE USHINDI MPINZANI"

Kwa hiyo kinachoonekana kwa sasa ni kila MSIMAMIZI(Mkuregenzi Jiji/Halmashauri) kuhakikisha Mawakala wa Upinzani hawaapishwi ili kurahisi wizi wa kura kwa CCM ili iwe rahisi kwao kuwatangaza Wagombea wa CCM kwa kura za kishindo!!

Kwa Hakika hili ndilo litakalo leta vurugu kubwa sana kwene Uchaguzi Mkuu wa 2020! Chochote kitakacho tokea siku ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi lawama zote atazibeba Magufuli, NEC na CCM.
 
muda wa kuapisha mawala umeongezwa hadi 23.10.2020

Sawa bwana Mahera ile kemea sana figisu za wasimamizi wa uchaguzi ngazi za jimbo, wataharibu halafu lawama zitakuja kwako; umesikia yaliyotokea Chato, na huko Karagwe kata ya Kayanga inasemekana mgombea udiwani Chadema Mr. Amos hajapewa barua ya kuteuliwa licha ta maelekezo toka tume
 
Back
Top Bottom