Leo mjanja nimekamatika, naona kama nimetapeliwa Tsh. Milioni 1

Akishaweka kiasi, akipress next inakua dot 4 tuu za Mteja kuweka namba ya siri, namba ya siri ukishaandika ukimpa mashine yeye anakua haoni namba yako ya siri,inakua ****
Mimi naongelea kiasi Mkuu.

Lakini, angekuonesha kwanza kiasi alichoandika kisha ndio aende hatua inayofuata ya namba ya siri.

Next time usikubali aandike kiasi bila wewe kuona kabla ya kuweka namba ya siri, hata ukifanikiwa kuipata ila ujifunze kuwa makini.

Pole kwa hiyo changamoto.
 
ndio hivyo kama hana vielelezo, imekwisha!
Na Kwa upelelezi wangu nimemuulza bodaboda anaepaki jiran pale kaniambia anakuepogi mdada, inamana nilimkuta hiyo siku huyo dogo ni mfanyakazi itakua
 
Hapo sawa, lakini akishandika kiasi hatua inayofuata ni namba ya siri tuu
 
Hela yako utaipata. Vuta subra mpk Monday na usiwe na pressure lala usingizi mnono usijitie stress
 
Hold on, hizo mashine huwa hazioneshi kiasi? Hiyo ni hatari kubwa na inabidi waubadilishe huo mfumo haraka.

Nilidhani ni mashine kama tunazotumia sehemu za biashara ambazo huwa zinaonesha kiasi.
Zinaonesha. Ni km POS za maduka za kuswap na kutap
 
Nimejifunza kutokulazimisha kutoa toa hela mtandao ukisumbua.

Niliwahi lipia laki 5 na ushee kule Saadani mbugani, mara ya kwanza malipo yalkagoma, risiti ikatoka 'payment unsuccessful', kujaribu tena, malipo yakafanikiwa.
Kurudi Dsm, DTB wamekata hela iliyokuwa unsuccessful na risiti ya unsuccessful imebaki huko porini.

Nilisumbuka sana ila ile hela ilirudi.
 
Lakini baada ya MDA gani uliipata
 
Shukran Sana ngoja tusubiri, Bora hata wewe unatia moyo kuna watu hapa ndani wanaona kama utani utani tu
Mie naelewa sana hizo changamoto mkuu.
Madhal bank wamekwambia pesa ishaingia kwenye akaunti ya wakala kinachofuata ni wakala kukupa pesa yako
Hata kama huyo mfanyakazi alomuweka sio muaminifu yeye atajua atadeal nae vp lkn mwisho wa siku mwenye agency banking yake ndio atakuwa na jukumu la kukulipa. Vizuri system za bank hazisemi uongo
 
Kweli kabisa ngoja tusubir
 
Nenda polisi wakupige tena pesa kidogo ili Hilo fuvu lichujie akili vizuri mbuzi we....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…