Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Mkuu uzuri nimewapuuza, wengi wameanza kufuta comments maana sijawazingati, ila nimepata kitu cha kujifunza maishani.

A Fish with his mouth closed never gets caught.
 
Mm Nina lottery yangu imbayo inanidirect interview JANUARY .ulivyopata ujuui tu umenitia nguvu mno...nawezaje kwenda kwenye interview bila ya kuwa na consent ya mzazi mmoja juu ya watoto kuruhusu kuondoka bila yeye kujua
Mungu akutimizie mahitaji yote mkuu, nakuombea
 
Ahsante kiongozi, tuombeane mema tu kaka
 
Kwanza mi nikupongeze kwa hatua uliyofikia na Mungu azidi kukuongoza na kukupa hitaji la moyo wako. Kingine achana na hao roho nyeusi na mbaya wapo kwa ajili ya kukatisha watu tamaa na kutopenda wengine wapige hatua. Kila la kheri Mkuu.
Ahsante ndugu yangu [emoji120]
 
Kama wewe ni Pro-Russia usijionyeshe hivyo katika interview
 

Kila la kheri mkuu

Mungu akufanikishe upate na chaka la kazi huko huko...
 

Mzee baba hongera sana! Karibu USA! Wamarekani wakikuamini basi ndo imeisha hiyo. Vipi hawaja kuuliza kuhusu familia? Kama umeoa au lah?
 
Unaenda kufanya nini US mwaya? Ili nikiwa nakuombea na hilo lengo nilijumulishe kwenye maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…