Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Ahsante sana mkuu, nimejifunza jambo kubwa sana leo kuhusu watanzania.
 
Kila La kheri,
Jiamini, Jibu maswali kwa kujiamini,
Mtazame Interviewer straight kwenye Paji lale la uso, usitupe jicho pembeni,
Ishara ya mikono iendane na Unachozungumza, lakini pia isi-swing too much hasa kwenye Open- ended Questions.
Ahsante kiongozi, ahsante sana, nimefurahi nimefanikiwa.
 

Mrejesho wa nini hapa! Unadhani kwenda Marekani ni mbinguni! Huko unajipeleka utumwani tu! Nchi yako hii ni bora mara 1000 kuliko huko unakoomba na kusali! Utajua hilo utakapofika huko kama utafanikiwa interview yako! Utakuja kurudi huku mikono mitupu kama utakavyokwenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…