Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Nenda state mkuu,hiyo ndio Dunia ya kwanza,kama ni shule kapige kisawa Sawa,kama ni kazi piga kweli kweli,waza future yako na jamii/familia yako,iwekee misingi mizuri Ili na wanyewe,siku ukisha kuwa muhenga wapate njia raini ya kupita kufikia manono,wao wasije Waka hustle saaana kama wewe,
Congrats!!
Ahsante Mkuu.
 
Wewe visa yako inasomekaje? Mana naskia zipo visa aina mbalimbali.

Je, visa yako inakuruhusu kuishi moja kwa moja huko USA?


Banafsi navizia kucheza ile bahati nasibu ya kwenda USA mwaka huu. (Diversity Visa Lottery)
Visa yangu ni student Visa Mkuu - F1.
 
Ndio maana Marekani hawaishiwi, hiyo ni dhulma wanaifanya dunia nzima halafu wanaonyimwa viza ni wengi kuliko wanaopata na hiyo pesa ni non refunded.
Mkuu ahsante sana kwa moyo wako mwema, umenisaidia sana tangu mwanzo hadi hapa nilipofikia, ubarikiwe maradufu, natambua msaada wako kwangu.
 
Back
Top Bottom