Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Zamani waafrika walichukuliwa kwa nguvu kwenda utumwani siku hizi waafrika wanagombea wenyewe huku wakililia kwenda utumwani,

Aisee umenena kweli kabisa! Watu wanajipeleka utumwani wenyewe! Watu kule wamechanganyikiwa hadi wanajilipua risasi yeye eti anamuomba Mungu kwenda huko! Ajiulize kwanza nani alienda Marekani au Ulaya akarudi tajiri! Wanarudi wamechakaa hadi wamechanganyikiwa! Unadhani kazi ya kuzoa mavi kule ndiyo itakufanya uwe tajiri, subutuu! Huko anaenda Matekani na siyo Marekani! Marekani kunawafaa Wamarekani wenyewe bwana, siyo akina Mchafukoga!
 
SAWA NASHUKURU, UNALINGINE LA KUONGEZEA?
 
SAWA UMESIKIKA PUMZIKA, UMEELEWEKA[emoji3526]
 
Wanaacha utajiri afrika wanaenda utumwani Ulaya.Huku fursa tele akifaidika Mchina.
Kwa gharama hizi za mafuta kupaa utajiri upo kwenye kuzalisha ethanol petrol mbadala,utajiri upo nje nje
 
Hongera sana mkuu,binafsi nilikuombea sana maana pia una roho safi ya kusaidia wenzako,naamini kwa vile umefanikiwa katika hili utakuwa mentor wangu wa kunipa maelekezo sahihi nami nifanikiwe.
 
Wanaacha utajiri afrika wanaenda utumwani Ulaya.Huku fursa tele akifaidika Mchina.
Kwa gharama hizi za mafuta kupaa utajiri upo kwenye kuzalisha ethanol petrol mbadala,utajiri upo nje nje
Me sihitaji kuzalisha Ethanol, zalisha wewe mkuu inatosha, nimechagua UTUMWA,maisha ni uchaguzi, wewe endelea kutajirika na wachina, sio wote tumeandikiwa utajili.
 
Hongera sana mkuu,binafsi nilikuombea sana maana pia una roho safi ya kusaidia wenzako,naamini kwa vile umefanikiwa katika hili utakuwa mentor wangu wa kunipa maelekezo sahihi nami nifanikiwe.
Naam mkuu ahsante sana, naamini ulifanyia kazi ushauri wangu, fanya hivyo utafanikiwa pia ndugu yangu,Mungu akubariki pia.
 
Mbona hasira hivyo?
 
Wewe visa yako inasomekaje? Mana naskia zipo visa aina mbalimbali.

Je, visa yako inakuruhusu kuishi moja kwa moja huko USA?

Banafsi navizia kucheza ile bahati nasibu ya kwenda USA mwaka huu. (Diversity Visa Lottery)
 
Nenda state mkuu,hiyo ndio Dunia ya kwanza,kama ni shule kapige kisawa Sawa,kama ni kazi piga kweli kweli,waza future yako na jamii/familia yako,iwekee misingi mizuri Ili na wanyewe,siku ukisha kuwa muhenga wapate njia raini ya kupita kufikia manono,wao wasije Waka hustle saaana kama wewe,
Congrats!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…