Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Mkuu ushauri tu nakupa! Ukifika hapa The land of oppotunity! [emoji631][emoji631]! Kaa karibu na wakenya watakupa michongo yote ya kusaka pesa! Kaa mbali na wabongo! Wabongo bado ni watu wenye mizaha sana kwenye mambo serous! Wakikukuta unabeba box wataanza kupiga simu nyumbani nakufanya mizaha wakati watu wanatafuta mpunga hapa hakuna kuchagua kazi. Pia kama hauna makuu jiandikishe kwa watu wa food bank utakuwa unapata misosi ya kufa mtu bure kabisa! Then utajikuta una saving ya kufa mtu. Mwisho tii sheria bila shuruti. All the best champ! Hakuna kurudi huko kwa makarani wa sensa [emoji28][emoji28][emoji109]
Kwahyo ndgu sisi wte tumekuwa makarani sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu ni kweli kabisa! Hapa ukifika utakuta hadi wajapani hawataki kurudi kwao wote wanakomaa hapa, nilishangaa sana hadi wajerumani,waingireza na wacanada wote hawataki kurudi kwao. Wameamua kukoamaa hapa. USA [emoji631] ndo kiwanja pekee cha wajanja wanaotaka maisha zaidi ya huko nyumbani. Ukifika hapa mzee mawazo ya kurudi home yote yatakatika! Hakuna aliyefika hapa akawaza kurudi tena home labda awe kalogwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina furaha sana kusikia hizi shuhuda, naamini nitafanikiwa adhma yangu.
 
US ni US tu. Nothing comes close. Home of the brave and land of the free.

Ndo nchi yenye fursa nyingi kwa mtu yeyote yule kuliko nchi zote duniani asikwambie mtu otherwise.
 
Nina furaha sana kusikia hizi shuhuda, naamini nitafanikiwa adhma yangu.

Utafanikiwa sana kaka! Muhimu ni kama nilivyo kuambia kaa mbali na wabongo then kaa karibu na wakenya! Wengi walifika huku kitambo sana so wanaifahamu US ndani nje na wengi wao ukiacha wazembe wachache wamefanikiwa sana hapa US. Kule Seattle nimekuta makampuni ya Logistic mkabwa sana yanamilikiwa na wakikuyu aisee! Hawa watu wako serious na maisha balaa! Pia kuna wazungu ambao sio wabaguzi hao pia kaa nao karibu.
Kama budget inasoma njoo na Qatar au Emirates uta enjoy safari sana. Ila kama haisomi vizuri basi piga unga unga mwana njoo na KLM alafu unganisha na Delta au Air France. Nako pia ni kitamu sana gharama ndogo ila wako njema sana. Kenya Airlines na Ethiopia Airlines walalahoi wale watakuchosha.
 
US ni US tu. Nothing comes close. Home of the brave and land of the free.

Ndo nchi yenye fursa nyingi kwa mtu yeyote yule kuliko nchi zote duniani asikwambie mtu otherwise.

Hii ni kweli kabisa!! Ukienda japan leo hii ukawauliza wanatamani kwenda nchi gani basi jibu kwao ni moja tu US. Ukienda korea au china au Germany kote jibu ni moja [emoji631][emoji631]!! Tofauti ya US na nchi nyingine ni kuwa hapa jasho lako utaliona, na mifumo yao hapa imewekwa kumnufaisha kila mtu bila kujali ni mgeni au lah! Wakati ukienda dubai au Europe pamoja na kuwa na miundombinu mizuri ila mofumo yao iko kuwanufaisha wazawa tu. Wageni pale ni manamba tu hata ufanye kazi vipi hutakaa uone jasho lako
 
Utafanikiwa sana kaka! Muhimu ni kama nilivyo kuambia kaa mbali na wabongo then kaa karibu na wakenya! Wengi walifika huku kitambo sana so wanaifahamu US ndani nje na wengi wao ukiacha wazembe wachache wamefanikiwa sana hapa US. Kule Seattle nimekuta makampuni ya Logistic mkabwa sana yanamilikiwa na wakikuyu aisee! Hawa watu wako serious na maisha balaa! Pia kuna wazungu ambao sio wabaguzi hao pia kaa nao karibu.
Kama budget inasoma njoo na Qatar au Emirates uta enjoy safari sana. Ila kama haisomi vizuri basi piga unga unga mwana njoo na KLM alafu unganisha na Delta au Air France. Nako pia ni kitamu sana gharama ndogo ila wako njema sana. Kenya Airlines na Ethiopia Airlines walalahoi wale watakuchosha.
Ahsante sana Mkuu, napambana next week IJUMAA nianze safari, naplan kusafiri na Air France.
 
Yaani kuna jamaa alianza kuniambia mambo ambayo hadi sasa hivi najiuliza kama hiyo roho anayo mtu anayekujua vizuri anakuua kabisa.

Nilichojifunza tu ni kuwa sitakuwa naweka masuala binafsi mtandaoni, ni kukaribisha roho za kishetani tu maishani.

Niliweka ili tu niweze kupata usaidizi na ushauri kutoka kwa wajuzi wa mambo, ili kupata insight ya kupambana,ila matokeo yake mtu anakuandikia.

  • UNAENDA UTUMWANI UNAONA SIFA.
  • UTAKUFA NJAA HUKO
  • UTARUDI NA MAKOBAZI HUTAFANIKIWA
  • UTARUDI KAMA ULIVYOKWENDA.
  • UNATUANDIKIA MAREKANI UNADHANI NI MBINGUNI.
  • UNATAKA SIFA, NK.
  • CHUKUA MIFAGIO YA KUZOLEA MAVI YA WAZUNGU.

Ina discourage sana, anyway tuishi.
Achana na washamba Hao, hawana wanalojua, maisha yamewapiga wanatafuta pa kutolea stress.
 
Ndio hasa ya masomo, maana ili kusoma wanahitaji uwe proficient kwenye lugha ya kingereza.
Mimi nina swali, visa waliyokupa ni ya muda gani?.. Lakini je katika kukupa hiyo visa hawajali mfuko wako wa bajet ya kuanzia maisha huko? Au ukishakuwa na documents safi zimekamilika utajua mwenyewe hawana shida kujua utaishije nchini mwao

Ni hilo tu nataka kujua
 
Student Visa F1 ni five years, japo taarifa zako za masomo na staying during inatokana na SEVIS (1 -20), me nitafanya Master programme ya 3 years. Wanahitaji tu confirmation ya fund kutoka kwa sponsor wako kama hujapata full funded scholarship (kupitia bank statement).
 
Mkuu hapa JF kuna watu wa kila aina,wapo waliopo Bongo na wapo waliopo nje ya Bongo,kwa Dunia ya leo ni rahisi sana kwenda nchi yeyote ile na kutafuta riziki,

So,mtu akikwambia sijui yupo nchi fulani usichukulie kua ni jambo kubwa sana,ni kawaida tu,

Karibu hapa kwa Malkia tukomae na box.

Hahaha, asante sana Mkuu nakubali maneno yako. Pamoja na hilo, bado lipo gape la wengi ambao wako Vikindu wilaya ya Mkuranga ila jumbe zao nyingi za Jf huwa zinasomeka kutoka Florida, USA.
 
Salamu wakuu,

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.

Namuomba sana Mwenyezi Mungu anifanikishe katika jambo hili, niombeni pia rafiki zangu, nitaleta mrejesho.

Wasalaam.
Nenda umevaa Kiarab na mabomu mwilini utapata visa fasta tu
 
Back
Top Bottom