Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

kuna yule boda boda kwanza anza na huyo anajua machinjio
 
Aisee kuna dada ameingia kwa mpangaji mwenzangu mida ya 12 jion hv mpaka sasa hajatoka asijekuwa ndo huyu mke wako chief
 
Mkuki kwa nguruwe! Unafikiri una nini cha zaidi yake hadi umtende na kuchukulia ni sawa tu, ila yeye asifanye kama wewe?
 
Kuwa mvumilivu,utamshuhudia na anaye mkaza,atamsindikiza hadi nyumbani wakijua haupo.
Huwa anatumia kilevi?maana atakuja yupo mbwai,na katumika chapa chapa.
Mbaya ukute ni mtu unafahamiana naye anakukazia mkeo.

Hapana hajawahi kunywa japo ni mchaga labda iwe ameanza hivi karibuni
 
Dhambi ya zinaa ni dhambi pekee inayokaa ndani ya mwili wa binadamu, yaani ni dhambi ambayo mtu akiifanya basi anafanya dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Dhambi zingine zote ni nje ya mwili isipokuwa zinaa peke yake. Soma, 1 Wakorintho 6:18

Sasa matokeo yake ni kwamba sababu zinaa hukaa mwilini hii hupelekea kwa wazinzi kuzaa watoto wazinzi pia.
Tena kama wewe na Mkeo nyote ni wazinzi basi hata watoto wenu pia watakuwa wazinzi.

Omba maisha marefu uje uone maisha ya watoto wako watakavyokuwa ukubwani. Zinaa ni mbaya sana ndiyo kwenye Biblia na Quran kote kuna maandiko yanasema, "ikimbieni zinaa".
 
Hata mimi nimeamua nimwache tu aendelee mpka atakapo amua kurudi ,,na nahis ntamwacha tu but watoto bado wadogo roho inauma tukitengana
Mnatengana wa nini

amekuambia ana fanya?si kasema anaangalia TV

Ondoka home mtext unakaribia nyumbani umpe muda arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…