Leo naolewa

Olewa dada upate heshima maana unaachana. Na ukapela na kuwa mwanamke kamili.hongera
 
Hapana. Nauliza tu kutoka na uzi wake aliowahi kuuweka hapa akilalamika kuwa jamaa hataki wa-do kabla ya ndoa, jambo lililomsumbua na kuhisi labda jamaa sio riziki.
Alaaaa....basi huo uzi sijauona. Tumtakie kila la kheri katika maisha mapya hayo
 
Hongera Monicca
Kuolewa sio issue,kui- ishi ndoa ndio kubwa na la msingi
Mungu akujalie kui ishi ndoa ya amani furaha na upendo,kuvumiliana na kutunziana mapungufu(kati yenu nyie wawili)ndiyo siri ya mafanikio, marriage is a life time adventure from this moment on
Love is the greatest invension ever created
Hongera sana
 
Asante sana Kwa taarifa Na hongera Kwa kupata mwenzi wa Maisha yako!vp bwana harusi Ni mwana JF?naomba kadi moja kwa wana JF tuwakilishwe na Lara pamoja Na Rubi
 
Maneno yako yameniingia sana isitoshe yamekuja kwa wakat muafaka..asante sana.
 
Nakuusia NDOA NI UVUMILIVU hakuna maana. zaidi ya hiyo.Na hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja,cha muhimu angalia mji wako usiharibike kisa wapita njia
 
hongera ila we umetualika mlangoni tutaingiaje bila card
 
Nafuahi uliamua kukubaliana naye.
Hata ikiwa sio riziki, tafuta namna ya kuondokana na tatizo hilo.
Marriage is not like a bed full of roses.
There are some thorns in it.
Hapa sijakuelewa kinjio what do you mean? Kama siyo ridhiki mi ntasepa tena kwa speed kubwa sifuati chakula chake mim
 
Kila la kheri Monicca katika ukurasa huo mpya dear..... M'Mungu ajaalie ndoa yako ijae furaha,upendo na amani. Kulala bila pichu Oyeeeeeee!!!
Asante..oyeeeee
 
duu watu mna maamuzi,hivi na dunia hii unaazaje kujifunga kwa mtu mmoja??..umeyataka mwenyew sio baada ya wik unakuja hapa kujaza serva kwa malalamishi yenu,watu mlioko kwenye ndoa mnamatizo sana utasema mnalazimishwaga.
We ulitakaje labda?
 
Daaaahhh kila la heri Mungu akubariki kwenye safari mpya ya kimaisha ...Utuwekeee picha pia za harusi .... baadae
 
Kila la heri katika maisha mapya...Hakika uliusemi wa walioko ndani wanapambana kutoka nje na walioko nje wanatamani kuingia ndani...Karibu ndani ya nyumba uje ujione machaguzi yale uliyoyafanya kama ni sahihi ama ulibug...
Hatua hii ni muhimu ktk maisha inaleta heshima hata kama inachangamoto zake.
 
uvumilivu uweke mbele piya akiwa kwako ni wako akitoka usimuhisabu aweza kuwa na kadha wakadha ,usiiiamini sura na mdomo hakuna mume wapekee yako labda kama ni mtoto si riziki
 
Karibu ukumbini, utapewa cheti ndipo uanze test, hutakiwi kufeli hizo test na mitihani itafululiza.
Uwe na akili yako, wala usitegemee kushauriwa, ya nini kuiishi akili ya mwanzioo!!!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…