Leo naolewa

Asante sana Kwa taarifa Na hongera Kwa kupata mwenzi wa Maisha yako!vp bwana harusi Ni mwana JF?naomba kadi moja kwa wana JF tuwakilishwe na Lara pamoja Na Rubi
Niwana jf ndiyo..pole kadi zilitengwa 20 kwaajili ya sana jf na zilishakwisha zote.
 
Hapa sijakuelewa kinjio what do you mean? Kama siyo ridhiki mi ntasepa tena kwa speed kubwa sifuati chakula chake mim
Kesho tupatie mrejesho kama yupo fit kazini.
Usikimbie lakini hata kama ni impotent. Unaishi naye huku unamwomba Mungu akuondolee maaribu ya kuwa na mchepuko.
 
Pole sana monicca...leo unaenda kukumbans na kibamia,ukivumilie maisha yako yote........
 
Nakuusia NDOA NI UVUMILIVU hakuna maana. zaidi ya hiyo.Na hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja,cha muhimu angalia mji wako usiharibike kisa wapita njia
Eti nini? Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja? You must be kidding
 
Aiseee,hv now days,kuolewa ni dili enhee? I mean ni kama bahat vile
 
Bi moniccca
Makiwani (my condolences) dada. Kwa vyovyote vile ungekuja juta (either way you would regret), yaani ndoa au upweke.
JOKES, JOKES, JOKES πŸ˜‰πŸ˜€πŸ˜€

Lakini nimefurahia umeamua kujitosa. Karibu sana kwenye hii klabu yetu.

Congratulations dear. Give your hubby a big, juicy kiss for all of us here at JF, you hear?
 
Hongera dadaangu nakutakia kila rakheri ila kumbuka ndoa ni maisha kama ulivyokuwa alone kuna siku ulikuwa down na siku nyngne happy mungu akulinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…