Ukazae watoto sio kujaza choo tu[emoji115] [emoji115] [emoji115]Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Duh...!!Ukazae watoto sio kujaza choo tu[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sasa ukibaini jamaa sio riziki utaachana naye au ndo utavumilia shida hadi kufa maana kiapo kinasema mtakuwa pamoja kwa shida na raha,mvua na jua na mengineyo kibao.Leo ndo uhakiki utafanyika
Sasa moniccca kama unafata dushe si bora umtafute mwanaume rijali awe anakupa unachokitaka kuliko kugharamia sherehe mwisho wa siku ukatoka nduki ukamuacha jamaa na umeshawaingiza watu hasara kubwa.Hapa sijakuelewa kinjio what do you mean? Kama siyo ridhiki mi ntasepa tena kwa speed kubwa sifuati chakula chake mim
Ni ulewa wako tu..kama hakuna tendo la ndoa hapo hakuna ndoa..nikikuta hakuna kitu sitakuwa na lakuvumilia hata yeye nimekwambia.Sasa ukibaini jamaa sio riziki utaachana naye au ndo utavumilia shida hadi kufa maana kiapo kinasema mtakuwa pamoja kwa shida na raha,mvua na jua na mengineyo kibao.
Okey ngoja nichek... Thanksalitafuta huby humu january na akaleta mrejesho kuwa kapata mr right I need my Mr. Right
inamaana wewe na yeye hamjawahi kurushiana maji toka ujana wako angali ofisini kwenu watu wanakulana hadi juu ya vitiNi ulewa wako tu..kama hakuna tendo la ndoa hapo hakuna ndoa..nikikuta hakuna kitu sitakuwa na lakuvumilia hata yeye nimekwambia.
Hahaha mkuu.ameamua ajitose tu maana kwa mara ya kwanza mwanaume ndo hataki kudo na mchumba wake.jamaa atakuwa sio riziki hakiyanani.Kweli mkali sana huyu bibie wacha nim-quote kidogo alivyosema..''Wadau nisaidieni,mimi naishi kwangu na maisha yangu sina dhiki kwa kweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lakini dushe lake ananinyima. Kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? Kwangu mimi dushe ndio uhitaji wangu mkubwa'' Akamaliza..
Kuanzia kesho chupi juu ya msumari!!!
chupi sio issue mzee! monica anasema hajui kama jamaa mpini unasimama au lau! inawezeka mpaka ushtuliwe ndio uwe kama nondoKuanzia kesho chupi juu ya msumari!!!
Kweli eeeh!!kwahiyo itakuwa Monica ameshobokea ndoa kabla ya kufanya practicalchupi
chupi sio issue mzee! monica anasema hajui kama jamaa mpini unasimama au lau! inawezeka mpaka ushtuliwe ndio uwe kama nondo
Wanasema shake well before useHongera sana. Vipi ulishahakikisha huuziwi mbuzi kwenye gunia? Did you DO with him?
Leo ndo uhakiki utafanyika