Leo naolewa

Karibu sana uwanjani shurti uwe mtiifu kwa mumeo zile safari zako kwa mashost zako zipungue!! Teh teh! Vipi yule bi shost atakuja? Hahah usijekuwa ka yeye kuwa mwaminifu kwa mumeo Na MUNGU atakusaidia awape maisha marefu na mumeo muwe na ndoa njema!uvumilivu ni moja ya nguzo ya ndoa mama siyo leo mumeo anamastress kakupa kimoja au hajakuridhsha unaamka umevuta mdomo hata kuongea hutaki !loh! Teh teh ! !KILA LA KHERI!!
 
duu watu mna maamuzi,hivi na dunia hii unaazaje kujifunga kwa mtu mmoja??..umeyataka mwenyew sio baada ya wik unakuja hapa kujaza serva kwa malalamishi yenu,watu mlioko kwenye ndoa mnamatizo sana utasema mnalazimishwaga.
Jombaaa, sema ukweli tu kuwa unamatatizo ya kiufundi ndo maana unaogopa ndoa...mwanaumegani wewe unaogopa challenge?
 
wewe mimi nipo feri hapa naelekea hapo kanisani ukinidanganya ntakutafuta mpaka nikupate
 
Muolewaji bado yupo online mpaka mda huu au?
 

Umemshauri vizuri sana. That is the rule of thumb. Kwenye ndoa sio vita....hakuna mashindano. Kama hata badilika na kuwa "a wife" to her husband, then she is already a failure. Ninamtakia kila la heri na kwa vyovyote vile amefanya uamuzi mzuri kuolewa
 
Ndoa si lele mama....na kukesha humu jf
 
hongera monicca sasa ivi utakuwa empty full night jamaa anajisevia tu vya halali uwiiiiiiiiii
 
hongera moni,ni matumainu yangu hiyo master yako haita interfere familia yako mpya,maana siku huzi kuna kasumba ya wadada wasomi kutaka ku-lead kila kitu kwenye ndoa,cheza nafasi yako na mumeo acheze yake....Mungu awape uhai mrefu wa ndoa na umri wenu,ili muweze kushuhudia hata maisha ya vitukuu vyenu.....amin
 
Mungu amsaidie
 
Ha ha ha maneno kuntu .. Na kuna wakati hata kudinda haidindi ajiandae
 
Hongera sana japo ni mchoyo maana ni kama umetushtukiza na hatujajiandaa na zawadi ila jana ndio siku yako ya mwisho kulala na pichu.
 
Hongera sana #moniccca
Mungu akujaalie heri ktk maisha mapya yanayohitaji upendo na uvumilivu
 
Hongera Monny Mungu awabariki sana ndoa iwe yenye furaha na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…