Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa alisha shake well, labda.Wanasema shake well before use
Hehehehe basi hapo ana hakiAtakuwa alisha shake well, labda.
Jombaaa, sema ukweli tu kuwa unamatatizo ya kiufundi ndo maana unaogopa ndoa...mwanaumegani wewe unaogopa challenge?duu watu mna maamuzi,hivi na dunia hii unaazaje kujifunga kwa mtu mmoja??..umeyataka mwenyew sio baada ya wik unakuja hapa kujaza serva kwa malalamishi yenu,watu mlioko kwenye ndoa mnamatizo sana utasema mnalazimishwaga.
wewe mimi nipo feri hapa naelekea hapo kanisani ukinidanganya ntakutafuta mpaka nikupateHabarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Usitumie hiki kitu kwenye ndoa yako Mamy hutachukua mda humo, hata kama unajiamini nishushe Mamy na usitumie hiyo sentensi kwa Mr hata kama umeshatumia usirudie ukiwa ndani ya ndoa .. Wapole sana hawa watu kabla hujaingia ukishaingia ni story ingine na mambo mengine ..
Ndoa si lele mama....na kukesha humu jfHabarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Mungu amsaidieUmemshauri vizuri sana. That is the rule of thumb. Kwenye ndoa sio vita....hakuna mashindano. Kama hata badilika na kuwa "a wife" to her husband, then she is already a failure. Ninamtakia kila la heri na kwa vyovyote vile amefanya uamuzi mzuri kuolewa
Ha ha ha maneno kuntu .. Na kuna wakati hata kudinda haidindi ajiandaeKaribu sana uwanjani shurti uwe mtiifu kwa mumeo zile safari zako kwa mashost zako zipungue!! Teh teh! Vipi yule bi shost atakuja? Hahah usijekuwa ka yeye kuwa mwaminifu kwa mumeo Na MUNGU atakusaidia awape maisha marefu na mumeo muwe na ndoa njema!uvumilivu ni moja ya nguzo ya ndoa mama siyo leo mumeo anamastress kakupa kimoja au hajakuridhsha unaamka umevuta mdomo hata kuongea hutaki !loh! Teh teh ! !KILA LA KHERI!!