Asante sana kiongozi, pia nikupongeze sana kwa ujasiri huu. Na hii inasaidia sana kuwa inspire vijana hasa hawa tunao pishana nao humu jamvini huku tukiwaita kwa heshima (mkuu)Karibu kiongozi najua wewe ni mkongwe mwenzangu humu jf
Namshauri amlee huyo mtoto na pia asirudie tena kufanya hicho kitu. Tutumie kondomu tunapotoka nje ya ndoa UKIMWI upo na unaleta majanga sana kwenye familia. Tuheshimu sana familia zetu na pia tuheshimu wanandoa wetuUnamshauri nini mwanaume aliyezaa na mchepuko? Au mdada aliyezaa na mbaba mwenye familia?
Niliona sifikii malengo niliyojiwekea maana nilipokuwa nasoma haswa Kibaha Sec nilikuwa na watoto wa wakubwa enzi hizo wanaishi Masaki na Mikocheni. Nilipokuwa nawatembelea makwao nilijiwekea nadhiri kuwa one day na mimi nitaishi kwenye mijengo kama yao. Nilipoajiriwa niliona sifikii malengo nikahamua kuanza ujasiliamali ambao ndio umenitoa at leastNi kitu gani kilikusukuma kuthubutu kuwa mjasiliamali?
Kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani (baada ya kodi kama ni mfanyakazi) ?ha ha ha ina maana mimi ni maskini? nina Imani watanzania level yangu hawafiki asilimia 5 ila navyoona mie ingawa sijafika napotaka
Changamoto ni nyingi ila cha muhimu usikate tamaa. Kwenye ufugaji mfano kuna magonjwa iliwahi kutokea kuku 4000 walikufa. Pia masoko nayo ni changamoto sana ila faida ni kubwa kuliko changamoto. Hamna kazi ambayo haina changamotoNi changamoto gani uliipata wakati unaanza ujasiliamali na uliitatuaje?
Kwenye ufugaji wa kuku unamshaurije mtu mwenye mtaji mdogo mf 50,000? Nini azingatie ili awe mfugaji mkubwa?
Inabidi ajue kuwa m/mke anayekubali kuwa na mme wa mtu anachowaza kwanza ni kukuchuna si mapenzi ya dhati hilo lazima uelewe. Pia family first. Mpende na kumjali mkeoNi vigezo gani mwanaume aliyeoa azingatie abapoamua kuwa na mchepuko?
Je Una Kitambi Mkuu?Inabidi ajue kuwa m/mke anayekubali kuwa na mme wa mtu anachowaza kwanza ni kukuchuna si mapenzi ya dhati hilo lazima uelewe. Pia family first. Mpende na kumjali mkeo
Nakupongeza kwa comment hiiBasi tu simjui ila uwa nafanya imagination kuwa ni kasichana kazuri kazuri hivyoo
Usinisahau na mimiWaoooooh asante sana jamani mwaaah mwaahh
Usinisahau na mimi
Mimi nataka kuja huko kesho kutwa, sitatembea zaidi ya sehemu nitakayoenda tu.Nipo afrikana lini nije ulipo
Mimi nataka kuja huko kesho kutwa, sitatembea zaidi ya sehemu nitakayoenda tu.
Ina maana mnaoa kama kipicha cha ndani halafu mnafanya yenu? Kama ni hivyo tuachane na ndoa tuwe kama simba, ng'ombe na wanyama wengine wanaodandia kila mwenye joto! Siku nikihisi mme wangu amechepuka loh sisemi anaweza kuwa humu na yeye.Hakuna mwanaume asiyechepuka ninaongea ukweli toka moyoni mwangu. Muhimu tumia kinga kwa ajili ya kujilinda wewe,mke, familia na taifa kwa ujumla. Tuache unafiki tuongee ukweli