Sijavumbua kwa maana ya kuvumbua nayoielewa ila ninachojivunia ninafanya kazi kwa bidii sana kuliletea maendeleo taifa langu. Mfano hapo tunapochati niko njiani naenda kwenye mashamba yangu Morogoro nimesimama hapa Ruvu kuna lori limepinduka ndio nachat. Uwa sipotezi muda kizembe, kwangu mimi muda ni mali kuliko chochoteUMEVUMBUA KITU MPAKA SASA?
Mama kuridhika ina hitaji moyo sana ndio maana kuchepuka inaendelea kuwepo.Ina maana mnaoa kama kipicha cha ndani halafu mnafanya yenu? Kama ni hivyo tuachane na ndoa tuwe kama simba, ng'ombe na wanyama wengine wanaodandia kila mwenye joto! Siku nikihisi mme wangu amechepuka loh sisemi anaweza kuwa humu na yeye.
Nipo hapa kushuhudia nzi kufia kwenye kidonda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe naachaje kwa mfano siyo kwa kupendwa hukooo love uuuuuuu @funzadume
Asante mkuu swali la mwisho.Sijavumbua kwa maana ya kuvumbua nayoielewa ila ninachojivunia ninafanya kazi kwa bidii sana kuliletea maendeleo taifa langu. Mfano hapo tunapochati niko njiani naenda kwenye mashamba yangu Morogoro nimesimama hapa Ruvu kuna lori limepinduka ndio nachat. Uwa sipotezi muda kizembe, kwangu mimi muda ni mali kuliko chochote
Love u more Demiss. Kwenye mitandao unaweza kumpenda mtu bila kumuona wala kumjua ila ukiona michango yake unavutiwa na kufall in love. Mapenzi yana maajabu sana
Nipo hapa kushuhudia nzi kufia kwenye kidonda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kufwaaa tu bana ili mwingine apendwe pia.Santeee jaman mm nafurahi tu kama unanipenda kwa michango yangu nitajitahidi niwe nakufatilia mara kwa nafaaa loveeeeeeeeeeeeewww mwaaah mwaaaah
Au mbuzi kufia kwa muuza supuHahahahha kiaje ati?[emoji23]
Huko sahihi sana mkuu. Halafu mwanangu hulali?
Okay maana mie nilidamka saa kumi nakuona huko onlineNalala sana mkuu.
Jana nililala kuanzia saa kumi na moja jioni nikaamka saa 4 kasoro usiku. Halafu nikalala saa kumi na robo na kuamka saa 12 na dakika 45 asubuhi.
Sina muda maalum wa kulala, uchovu ndio unaniongoza muda gani nilale
Unatumia browser au App kuingia jamvini?Okay maana mie nilidamka saa kumi nakuona huko online
Chief nimeufuatilia uzi wako tokea mwanzo nashukuru sana kwa kufunguka kwa maswali unayoulizwa by the way mi nilikuwa na ushauri kwanini usingeacha kazi na kutumia nguvu zako zote ulizobakisha kuongeza uzalishaji kwenye miradi yako? Maana kwa umri wako inaonyesha umebakiza miaka 17 ya uzalishaji kabla ya kustaafuKwa simu app kwa pc browser
Yah kuna wengi tu nilikutana nao wakati nasoma Germany. Wabongo wengi nje ni member wa JF hata huku bongo nimekutana na wengi wanaingia JF ila wengine sijui wanatumia majina gani.Ulishawahi kukutana na memba yyte wa JF live?....swali la pili mkeo nae ni member wa JF?....kama yupo anaitwa nani?na kama hayupo kwa nini hayupo?.... swali la mwisho mkeo anajua kwamba ww ni memba wa JF?