Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Nikifanya nini nitapata privilege ya kukutumia kama referree kwenye CV yangu?
Niwe nakujua kwanza na kwa kuonyesha kuwa unakubali mimi kuwa mtetezi wako kikazi nitafanya hivyo pia uwe na historia nzuri kielimu na kiutendaji na usiwe na hatia au jinai
 
Sijui kama unafahamu level yangu ya Maisha ila ukitaka kufikia level yangu ambayo na mimi pia bado nahangaika kuipandisha maana sijafikia ndoto zangu ile 100% ni kufanya kila jambo kwa bidii na kuhakikisha unapata elimu ya kutosha na sahihi. Pia jitahidi sana kujifunza vitu vingi kila siku haswa nje ya mfumo wa kawaida wa elimu utapata maarifa makubwa sana kimaisha

Jifunze jifunze jifunze. Humu JF kuna madini sana ukipatumia positively unatoka kimaisha. Nchi yetu ni simple sana kufanikiwa kuliko nchi nyingi nilizozunguka duniani
I ll take this
 
Wewe unajijua ni funzadume je mwingine akikuona atakuelewa we ni funza me au ke?na atatumia kigezo kipi kukutambua?
Kujiita tu funzadume inaonyesha mie ni mwanaume, zamani JF ilikuwa inaonyesha jinsia ya member kuna kipindi walibadilisha ikawa haionekani ila ukifungua jina la member utaona jinsia yake
 
Kuna habari zimeenea humu JF kwamba jirani yako mnaetizamana milango anamchukua mkeo. Hii tabia waliianza wakati wewe uko jela kwa kosa la kughushi nyaraka za TRA. Hizi habari zina ukweli wowote?
 
I ll take this
ePumbavu kumbe mchepukaji????? Nilifikiri unakuja kuwafunza wadogo/wanao maadili mazuri kumbe wewe mzinifu???? Subiri lipasuke utakufa siku siyo zako.
Hakuna mwanaume asiyechepuka ninaongea ukweli toka moyoni mwangu. Muhimu tumia kinga kwa ajili ya kujilinda wewe,mke, familia na taifa kwa ujumla. Tuache unafiki tuongee ukweli
 
Back
Top Bottom