Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Nimeanzisha Uzi huu Kwa ajili ya Watu very Intelligent kama Wewe Kuujadili cha Kushangaza nao Umevamiwa na Wapumbavu na Wendawazimu wengi tu kama huyo Uliyemjibu na Wengine waliochangia na Watakaochangia kama Wao...
Wewe ni mjinga na bahati yako umebeba kundi la wajinga wenzio wasiojua kutafakari na kuhoji.

Unawalaumu Simba SC wana mkataba feki wakati huo original hauna?! hopeless.

Hili sio jukwaa la mapopoma wa sampuli yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mpumbavu ni wewe uliyeleta mada ya kipumbavu.
...mada ya kipumbavu isiyo na ushahidi wa aina yoyote, halafu anataka ashangiliwe!.
 
Sijui niwaite wajinga mara ngapi ili mjielewe kuwa nyie kweli ni wajinga.

Unaposema mkataba wa Simba SC ni feki, tuwekeeni huo original tuuone, mna upeo mdogo ndio maana mnamshangilia mjinga mwenzenu.
Bora wanishangilie Mimi Mjinga Mwenzao kuliko Kukuamini Mpumbavu na Mwendawazimu Wewe.

Najua Sindano yangu imewaingieni.
 
...mada ya kipumbavu isiyo na ushahidi wa aina yoyote, halafu anataka ashangiliwe!.
Ni Mada ya Kiupumbavu inayoihusu Simba SC yako pekee au inazihusu Timu zote Mbili Yanga SC nayo ikiwemo?

Ninasubiria jibu lako upesi tafadhali.

Cc: Mawawa
 
Bora wanishangilie Mimi Mjinga Mwenzao kuliko Kukuamini Mpumbavu na Mwendawazimu Wewe.

Najua Sindano yangu imewaingieni.
Wewe ni punguani tu, hebu nijibu hili swali hapa.

- Kuna uhusiano gani uliopo kati ya mkataba wa udhamini, na mkataba wa kuinunua klabu, mpaka pesa itakayotumika kuidhamini klabu iwe chini ya ile pesa iliyotumika kuinunua klabu?

- Huoni hiyo ni mikataba miwili tofauti, iliyoingiwa kwa madhumuni tofauti, yenye terms/conditions tofauti?

Wewe ni popoma utashangiliwa na mapopoma wenzio tu, sio werevu kama sisi.
 
Yenye Mchanganyiko wa Akili Kubwa ya Kuzaliwa ( Kurithi kutoka kwa Mababu, Mabibi na Wazazi wangu Wapendwa ) na ile ya Kuongezewa na 'Genius Lecturers' kutoka The Genius University of Tanzania ( SAUT Mwanza ) nilikopita 2006 - 2009 na Kuiva vyema.
Kumbe dogo wewe ni wa juzi tu, binafsi hata mimi ninamashaka na zile figure tunazotajiwa, mpira wetu haujafikia kuwa na udhamini wa hizo billions kwa mwaka, kama kweli wanapata pesa hizo basi waanze hata msingi wa viwanja vyao vya mechi
 
🤣🤣🤣 Mpumbavu ni wewe uliyeleta mada ya kipumbavu.
Sasa kama kumbe unajua Mimi ni Mpumbavu na nimeleta Mada ya Kipumbavu imekuwaje tena Wewe Mwerevu ukapoteza muda wako muhimu kuja Kuisoma tena yote hadi kupata Nguvu ya Kuchangia na hata Kujibizana nami hivi?

Nikisema kuwa Wewe si tu ni Rais wa Upumbavu Ulimwenguni kote lakini pia ni Mwendawazimu Mwandamizi nitakuwa nakosea?
 
Mimi nimewazungumzia Simba SC ninaowafahamu, hao wengine watajizungumzia wenyewe, sawa popoma?
Hujajibu Swali huu Uzi ni wa Kuihusu Simba SC yako au ni Uzi Jumuishi wa Kuvisema hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Simba na Yanga?

Haya kwakuwa unataka Mimi na Wewe ( tena wana Simba SC ) tuzungumzie Simba SC yetu naomba Kukuuliza hivi zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti ipi na ya Benki gani?

Nasubiria Majibu yako tafadhali Oky?
 
Comment yangu no 27 ijibu, usijizungushe kipopoma hapa.

Nimekwambia naizungumzia Simba SC, hao wengine watajizungumzia wenyewe, huelewi nini hapo?

Suala la pesa ya uwekezaji limeshatolewa ufafanuzi mara 1000 vichwa ngumu hamtaki kuelewa, mnajiliwaza tu.

Usitafute mlango wa kutokea, jibu comment yangu namba 27 we popoma.
 
Kumbe dogo wewe ni wa juzi tu, binafsi hata mimi ninamashaka na zile figure tunazotajiwa, mpira wetu haujafikia kuwa na udhamini wa hizo billions kwa mwaka, kama kweli wanapata pesa hizo basi waanze hata msingi wa viwanja vyao vya mechi
Angalia tu huyu ( Mimi ) unayeniita Dogo nisije ama kuwa ni Babaako au 'Sukari ya Kibaikolojia' ya Mamaako sawa?
 
Comment yangu no 27 ijibu, usijizungushe kipopoma hapa.

Nimekwambia naizungumzia Simba SC, hao wengine watajizungumzia wenyewe, huelewi nini hapo?

Usitafute mlango wa kutokea, jibu comment yangu namba 27 we popoma.
Swali langu Kuntu la zilipowekwa Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji umeshalijibu?

au hujaliona?
 
Wewe mbwiga nimeanza kukuuliza swali kwanza, nijibu.
Zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti gani mwana Simba SC Mwenzangu Mpumbavu ( Popoma ) Wewe?
 
Zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti gani mwana Simba SC Mwenzangu Mpumbavu ( Popoma ) Wewe?
Ulitaka hiyo b. 20 iwekwe kwenye bonde lako ndio ujue ipo?

Umezoea kuwatisha watoto kwa hii mitusi yako wanakukimbia kumbe kichwani ni mweupe kabisa, huna kitu, empty set.

Umezoea ban tu, mi mwerevu zaidi yako kenge wewe, kawafungashe utopolo watakushangilia.
 
Huyu kiumbe anataka kujipa uspecial ambao hana,nadhan umemuuliza swali dogo tu kama hii mikataba ni feki alete OG anaanza kurukaruka
Wewe ni mjinga na bahati yako umebeba kundi la wajinga wenzio wasiojua kutafakari na kuhoji.

Unawalaumu Simba SC wana mkataba feki wakati huo original hauna?! hopeless.

Hili sio jukwaa la mapopoma wa sampuli yako.
 
Hakika dawa hii ni chungu lkn lazma anywe hakuna namna

Back
Top Bottom