Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
🤣🤣🤣 Mpumbavu ni wewe uliyeleta mada ya kipumbavu.Sina muda wa Kujibu Swali la Kipumbavu litokalo pia kwa Mpumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Mpumbavu ni wewe uliyeleta mada ya kipumbavu.Sina muda wa Kujibu Swali la Kipumbavu litokalo pia kwa Mpumbavu.
Wewe ni mjinga na bahati yako umebeba kundi la wajinga wenzio wasiojua kutafakari na kuhoji.Nimeanzisha Uzi huu Kwa ajili ya Watu very Intelligent kama Wewe Kuujadili cha Kushangaza nao Umevamiwa na Wapumbavu na Wendawazimu wengi tu kama huyo Uliyemjibu na Wengine waliochangia na Watakaochangia kama Wao...
...mada ya kipumbavu isiyo na ushahidi wa aina yoyote, halafu anataka ashangiliwe!.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mpumbavu ni wewe uliyeleta mada ya kipumbavu.
Bora wanishangilie Mimi Mjinga Mwenzao kuliko Kukuamini Mpumbavu na Mwendawazimu Wewe.Sijui niwaite wajinga mara ngapi ili mjielewe kuwa nyie kweli ni wajinga.
Unaposema mkataba wa Simba SC ni feki, tuwekeeni huo original tuuone, mna upeo mdogo ndio maana mnamshangilia mjinga mwenzenu.
Wewe ni punguani tu, hebu nijibu hili swali hapa.Bora wanishangilie Mimi Mjinga Mwenzao kuliko Kukuamini Mpumbavu na Mwendawazimu Wewe.
Najua Sindano yangu imewaingieni.
Kumbe dogo wewe ni wa juzi tu, binafsi hata mimi ninamashaka na zile figure tunazotajiwa, mpira wetu haujafikia kuwa na udhamini wa hizo billions kwa mwaka, kama kweli wanapata pesa hizo basi waanze hata msingi wa viwanja vyao vya mechiYenye Mchanganyiko wa Akili Kubwa ya Kuzaliwa ( Kurithi kutoka kwa Mababu, Mabibi na Wazazi wangu Wapendwa ) na ile ya Kuongezewa na 'Genius Lecturers' kutoka The Genius University of Tanzania ( SAUT Mwanza ) nilikopita 2006 - 2009 na Kuiva vyema.
Sasa kama kumbe unajua Mimi ni Mpumbavu na nimeleta Mada ya Kipumbavu imekuwaje tena Wewe Mwerevu ukapoteza muda wako muhimu kuja Kuisoma tena yote hadi kupata Nguvu ya Kuchangia na hata Kujibizana nami hivi?🤣🤣🤣 Mpumbavu ni wewe uliyeleta mada ya kipumbavu.
Milioni 900 ingependezaSasa wewe popoma ulitaka hivi vilabu visain mikataba ya bei gani ili uamini?
Hujajibu Swali huu Uzi ni wa Kuihusu Simba SC yako au ni Uzi Jumuishi wa Kuvisema hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Simba na Yanga?Mimi nimewazungumzia Simba SC ninaowafahamu, hao wengine watajizungumzia wenyewe, sawa popoma?
I don't have time to respond to damn Fools of your caliber.Sasa wewe popoma ulitaka hivi vilabu visain mikataba ya bei gani ili uamini?
Comment yangu no 27 ijibu, usijizungushe kipopoma hapa.Hujajibu Swali huu Uzi ni wa Kuihusu Simba SC yako au ni Uzi Jumuishi wa Kuvisema hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Simba na Yanga?
Haya kwakuwa unataka Mimi na Wewe ( tena wana Simba SC ) tuzungumzie Simba SC yetu naomba Kukuuliza hivi zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti ipi na ya Benki gani?
Nasubiria Majibu yako tafadhali Oky?
Angalia tu huyu ( Mimi ) unayeniita Dogo nisije ama kuwa ni Babaako au 'Sukari ya Kibaikolojia' ya Mamaako sawa?Kumbe dogo wewe ni wa juzi tu, binafsi hata mimi ninamashaka na zile figure tunazotajiwa, mpira wetu haujafikia kuwa na udhamini wa hizo billions kwa mwaka, kama kweli wanapata pesa hizo basi waanze hata msingi wa viwanja vyao vya mechi
Swali langu Kuntu la zilipowekwa Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji umeshalijibu?Comment yangu no 27 ijibu, usijizungushe kipopoma hapa.
Nimekwambia naizungumzia Simba SC, hao wengine watajizungumzia wenyewe, huelewi nini hapo?
Usitafute mlango wa kutokea, jibu comment yangu namba 27 we popoma.
Wewe mbwiga nimeanza kukuuliza swali kwanza, nijibu.Swali langu Kuntu la zilipowekwa Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji umeshalijibu?
au hujaliona?
Zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti gani mwana Simba SC Mwenzangu Mpumbavu ( Popoma ) Wewe?Wewe mbwiga nimeanza kukuuliza swali kwanza, nijibu.
Ulitaka hiyo b. 20 iwekwe kwenye bonde lako ndio ujue ipo?Zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti gani mwana Simba SC Mwenzangu Mpumbavu ( Popoma ) Wewe?
Wewe ni mjinga na bahati yako umebeba kundi la wajinga wenzio wasiojua kutafakari na kuhoji.
Unawalaumu Simba SC wana mkataba feki wakati huo original hauna?! hopeless.
Hili sio jukwaa la mapopoma wa sampuli yako.
Ulitaka hiyo b. 20 iwekwe kwenye bonde lako ndio ujue ipo?
Umezoea kuwatisha watoto kwa hii mitusi yako wanakukimbia kumbe kichwani ni mweupe kabisa, huna kitu, empty set.
Umezoea ban tu, mi mwerevu zaidi yako kenge wewe, kawafungashe utopolo watakushangilia.
Long live Manara msemaji wa Yanga. Yanga wenye akili ni JK na Sunday ManaraLong live legendary I.A Rage
WanaSimba wote ni mbumbumbu - I.A Rage, 16th March 2014.