passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Nafikiri you just spinning around.Mpaka sasa nalea watoto watatu ambao sio wangu , kulea mtoto wa mwanangu sio tatzo kabisa.
Note: ziwezi kamwe kuzuia matamanio ya mtoto kama anataka kuoa ni yeye na sio mimi .
Pia tunaposema kataa ndao pia sio sheria kila mtu akubaliane na sisi .
Muulize kama ana akili au hana, ikiwa atajibu anazo au hana muulize ka prove vipi.BUSH BIN LADEN maswali yake hayo hapo
Jamaa yuko vizuri spinning around. Maswali yangu niliyarudia sana mpaka nikachoka, anajibu, hakutoa jibu la moja kwa moja.Nafikiri you just spinning around.
Swali, wewe kama baba upo tayari kumruhusu mwanao aende huko kuleta mimba uje kutupiwa mzigo au mtoto wako wakike kuwa na mahusiano bila ya utaratibu?
Ondoa kwamba mtoto anaweza kufanya hilo regadless
Jibu kama baba.
Literature inasema mke wa kwanza wa Joseph the Carpenter alifariki akimwacha na watoto 6.Alievunja ndoa ya yusuph na mke wake wa Kwanza Ni Nani? Maana biblia inasema kabla ya MARIAMU tayar alikua na MKE na wototo 6, ambao ndo Kaka zake na dada zake yesu.
Kiranga Kuna kitu huwa huelewi. Nahofia sana akili zako mingi huwa unazipa likizo sijui likija hili jambo.Sasa mbona umenijibu hapa wewe guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo?
Huna muda wa kujibizana nami au huwezi kujibu hoja zangu?
Maana kama muda wa kunijibu umenionesha unao, kwa kuninukuu na kusema huna muda wa kunijibu.
Kitu ambacho huna ni hoja za kujibu hoja zangu.
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
Unaweza kuondoa contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo huyo Mungu?
Alishafahamu ni wapi anajifunga.Jamaa yuko vizuri spinning around. Maswali yangu niliyarudia sana mpaka nikachoka, anajibu, hakutoa jibu la moja kwa moja.
Unaweza uwe tayri isitokee na unaweza usiwe tayari ikatokea.Nafikiri you just spinning around.
Swali, wewe kama baba upo tayari kumruhusu mwanao aende huko kuleta mimba uje kutupiwa mzigo au mtoto wako wakike kuwa na mahusiano bila ya utaratibu?
Ondoa kwamba mtoto anaweza kufanya hilo regadless
Jibu kama baba.
Mkuu unajipoteza tu na uhasi wakoHapo unefanya logical fallacies hizi.
1. Argument from tradition. Yani umefanya kuwa kitu kikikubalika kiutamaduni, basi ni lazima kiwe sawa. Tumeona mambo mengi yalikubalika kiutamaduni zamani, lakini leo tumeyaona hayafai na tumeyaacha. Hoja hii ni potofu kimantiki (logical fallacy).
2. Argument from popularity. Yani kitu kikikubaliwa na wengi ni lazima kiwe kweli. Tumeona kuwa si lazima kinachokubaliwa na wengi kiwe kweli. Hoja hii ni potofu kimantiki (logical fallacy).
3. Argument from dictionary. Unachukua definition ya dictionary na kurahisisha hoja ngumu imalizwe kwa definition ya dictionary, wakati hata hilo neno Mungu hizo jamii nyingi ulizozitaja hazikubaliani Mungu huyo yukoje. Hii ni hoja potofu kimantiki (logical fallacy).
Mimi huwa nakubali kutokubaliana mkuu.Alishafahamu ni wapi anajifunga.
Hakuna baba anayejubali kuona mtoto wake wakike akifNya hayo, ila baba huyo huyo yupo hapa kusema kataa ndoa akichezea watoto wakike wa wenzake.
Very wonderful.
Mpaka sasa swali hujajibu nafikiri hujasoma vzuri.Unaweza uwe tayri isitokee na unaweza usiwe tayari ikatokea.
Ni brainwashed maniacs tu ndo wanakubali kuacha natural flow wanakubali new world order ambayo ndo itaangamiza hiki kizazi.MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.
Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.
Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
Mkuu usikariri vitabu, hayo unayosoma ni waliyoona yanafaa yakufikie kuna siri nzito zimefichwa kwenye mambo ya dini. Nikipe mfano mdogo miaka hiyo Roman Catholiki ilizusha vita baada ya kuwa nabutaratibu wa kuwachinjilia mbali wote waliopinga kujiunga na dini hiyo na hutakuta sehemu wamekuandikia mpaka upitie historia ya kawaida isiyogusa dini.Kitabu gani?
Sura ya ngapi?
Mstari wa ngapi?
Analeta meme za Kinigeria hizo.We kama unayo majibu mtag atakuja. Mimi nili kujibu ulichoniuliza na nikamuita akaja. Kiranga
Tunasema bikira kwasababu ya kumzaa yesu pasipo kuingiliwa na mwanaume, lakini baada ya kumzaa yesu aliendelea na ndoa yake na yusufu na kuzaa watoto wengine.Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
Yakobo, Andrea ,simoni na yuda walikuwa na umri mdogo kuliko yesu...Literature inasema mke wa kwanza wa Joseph the Carpenter alifariki akimwacha na watoto 6.
Ndio kusema ndoa ya kwanza ya Bw Joseph ilimuamuliwa na kifo.
Mkuu unajipoteza tu na uhasi wako
Tuanzie baioloji, kemia fizikia jeoglafia kote unakotaka uniambie vyote hovyo vilipatikanaje
Nakataa ndoa kama mkataba wa kisheria , japo bado sjaona umuhimu wa kuishi kinyumbaAlishafahamu ni wapi anajifunga.
Hakuna baba anayejubali kuona mtoto wake wakike akifNya hayo, ila baba huyo huyo yupo hapa kusema kataa ndoa akichezea watoto wakike wa wenzake.
Very wonderful.
Tatzo lako unataka majibu yangu yawe kwenye mipaka yako😜Mpaka sasa swali hujajibu nafikiri hujasoma vzuri.
Tunataka kusikia kauli ya baba regardless mtoto atafanya kinyume.
Upo tayari au haupo tayari?
Majukumu ya kwenye ndoa ni yap mkuu , ambayo unahisi mimi nitayashindwa?Kwa nini sikubaliane kukataa "pochi manyoya"!? Au mnakwepa majukumu kwenye ndoa lakini vipochi manyoya vyao mnapita navyo
Mkuu unamwambia asikariri vitabu. Wewe haya unayoyasema umeyatoa wapi!? Je umesoa article mbali mbali au umeoteshwa? Kama umesoa article mbali mbali ndicho hata yeye aliomba reference ili ajisomee mwenye. Unless uwe unaoteshwaMkuu usikariri vitabu, hayo unayosoma ni waliyoona yanafaa yakufikie kuna siri nzito zimefichwa kwenye mambo ya dini. Nikipe mfano mdogo miaka hiyo Roman Catholiki ilizusha vita baada ya kuwa nabutaratibu wa kuwachinjilia mbali wote waliopinga kujiunga na dini hiyo na hutakuta sehemu wamekuandikia mpaka upitie historia ya kawaida isiyogusa dini.