Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Mpaka sasa nalea watoto watatu ambao sio wangu , kulea mtoto wa mwanangu sio tatzo kabisa.

Note: ziwezi kamwe kuzuia matamanio ya mtoto kama anataka kuoa ni yeye na sio mimi .

Pia tunaposema kataa ndao pia sio sheria kila mtu akubaliane na sisi .
Nafikiri you just spinning around.

Swali, wewe kama baba upo tayari kumruhusu mwanao aende huko kuleta mimba uje kutupiwa mzigo au mtoto wako wakike kuwa na mahusiano bila ya utaratibu?
Ondoa kwamba mtoto anaweza kufanya hilo regadless

Jibu kama baba.
 
Nafikiri you just spinning around.

Swali, wewe kama baba upo tayari kumruhusu mwanao aende huko kuleta mimba uje kutupiwa mzigo au mtoto wako wakike kuwa na mahusiano bila ya utaratibu?
Ondoa kwamba mtoto anaweza kufanya hilo regadless

Jibu kama baba.
Jamaa yuko vizuri spinning around. Maswali yangu niliyarudia sana mpaka nikachoka, anajibu, hakutoa jibu la moja kwa moja.
 
Alievunja ndoa ya yusuph na mke wake wa Kwanza Ni Nani? Maana biblia inasema kabla ya MARIAMU tayar alikua na MKE na wototo 6, ambao ndo Kaka zake na dada zake yesu.
Literature inasema mke wa kwanza wa Joseph the Carpenter alifariki akimwacha na watoto 6.

Ndio kusema ndoa ya kwanza ya Bw Joseph ilimuamuliwa na kifo.
 
Sasa mbona umenijibu hapa wewe guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo?

Huna muda wa kujibizana nami au huwezi kujibu hoja zangu?

Maana kama muda wa kunijibu umenionesha unao, kwa kuninukuu na kusema huna muda wa kunijibu.

Kitu ambacho huna ni hoja za kujibu hoja zangu.

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?

Unaweza kuondoa contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo huyo Mungu?
Kiranga Kuna kitu huwa huelewi. Nahofia sana akili zako mingi huwa unazipa likizo sijui likija hili jambo.

Kwenye hii kesi kazi ya ku-prove ni yenu atheists, sabab hata neno atheist limetokana na theist, yaan imeanza theist ndo ikaja atheist, you are on defensive here mkuu, ww ndo inabidi utupe proof kwamba Mungu hayupo otherwise jury rules out of your favour.
 
Jamaa yuko vizuri spinning around. Maswali yangu niliyarudia sana mpaka nikachoka, anajibu, hakutoa jibu la moja kwa moja.
Alishafahamu ni wapi anajifunga.

Hakuna baba anayejubali kuona mtoto wake wakike akifNya hayo, ila baba huyo huyo yupo hapa kusema kataa ndoa akichezea watoto wakike wa wenzake.

Very wonderful.
 
Nafikiri you just spinning around.

Swali, wewe kama baba upo tayari kumruhusu mwanao aende huko kuleta mimba uje kutupiwa mzigo au mtoto wako wakike kuwa na mahusiano bila ya utaratibu?
Ondoa kwamba mtoto anaweza kufanya hilo regadless

Jibu kama baba.
Unaweza uwe tayri isitokee na unaweza usiwe tayari ikatokea.
 
Hapo unefanya logical fallacies hizi.

1. Argument from tradition. Yani umefanya kuwa kitu kikikubalika kiutamaduni, basi ni lazima kiwe sawa. Tumeona mambo mengi yalikubalika kiutamaduni zamani, lakini leo tumeyaona hayafai na tumeyaacha. Hoja hii ni potofu kimantiki (logical fallacy).

2. Argument from popularity. Yani kitu kikikubaliwa na wengi ni lazima kiwe kweli. Tumeona kuwa si lazima kinachokubaliwa na wengi kiwe kweli. Hoja hii ni potofu kimantiki (logical fallacy).

3. Argument from dictionary. Unachukua definition ya dictionary na kurahisisha hoja ngumu imalizwe kwa definition ya dictionary, wakati hata hilo neno Mungu hizo jamii nyingi ulizozitaja hazikubaliani Mungu huyo yukoje. Hii ni hoja potofu kimantiki (logical fallacy).
Mkuu unajipoteza tu na uhasi wako
Tuanzie baioloji, kemia fizikia jeoglafia kote unakotaka uniambie vyote hovyo vilipatikanaje
 
MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?

Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.

Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.


Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
Ni brainwashed maniacs tu ndo wanakubali kuacha natural flow wanakubali new world order ambayo ndo itaangamiza hiki kizazi.

Matatizo mengi ya familia chimbuko lake ni kwenda kinyume na kanuni kama hizi. Binti akishabalehe na akaonjeshwa pumbu za radha tofauti huyo tyr anakua kwenye hatari ya kuwa malaya, ila ukimuwahi akibalehe tu akapelekwa kuolewa na mwanaume anaemzidi hata 10years ataendelea kumuheshimu na kumuogopa kama baba yake mazazi.

Na ndo maana wanawake wanafikia menopause mapema ila mwanaume hata 80 years ngoma inasimama. Sababu hio mwanamke inabidi aingizwe kwenye ndoa mapema. Ni kukaza kichwa tu kwa watu, na usipoteze muda kuwaelezea coz mambo kama haya yanajielezea na tunaona faida na hasara zake. Nenda uarabun au sehemu yyt wanayoendelea kufuata hii miiko utaona namna family zao zilivyo stable, nenda sasa kule western kwa kina Pippen, ambako mtoto kamuoa ex wife wa rafiki ya baba ake, unadhan family itakua stable hio?
 
Kitabu gani?
Sura ya ngapi?
Mstari wa ngapi?
Mkuu usikariri vitabu, hayo unayosoma ni waliyoona yanafaa yakufikie kuna siri nzito zimefichwa kwenye mambo ya dini. Nikipe mfano mdogo miaka hiyo Roman Catholiki ilizusha vita baada ya kuwa nabutaratibu wa kuwachinjilia mbali wote waliopinga kujiunga na dini hiyo na hutakuta sehemu wamekuandikia mpaka upitie historia ya kawaida isiyogusa dini.
 
We kama unayo majibu mtag atakuja. Mimi nili kujibu ulichoniuliza na nikamuita akaja. Kiranga
Analeta meme za Kinigeria hizo.

Mimi nikisema sijawahi ku prove kwamba nina akili na sijui kama nina akili au sina, na hata sijui akili ni nini, hilo lina prove Mungu yupo?

Yani mimi namwambia mtu, prove A exists.

Yeye ananiambia mimi, prove B exists.

Nikishindwa ku prove B exists, yeye ndiyo kaweza ku prove A exists?

That is a combination of several logical fallacies.

I can name two right away.

1. False dichotomy.
2. Logical non sequitur
 
Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
Tunasema bikira kwasababu ya kumzaa yesu pasipo kuingiliwa na mwanaume, lakini baada ya kumzaa yesu aliendelea na ndoa yake na yusufu na kuzaa watoto wengine.
 
Literature inasema mke wa kwanza wa Joseph the Carpenter alifariki akimwacha na watoto 6.

Ndio kusema ndoa ya kwanza ya Bw Joseph ilimuamuliwa na kifo.
Yakobo, Andrea ,simoni na yuda walikuwa na umri mdogo kuliko yesu...

Sasa unasemaje walikuwa watoto Wa mama mwingine aliyefariki?

Kuna Vitu vya kujifunza nipo kujifunza mkuu..
Na kama umenotice mara zote wanapotajwa hao kwenye Biblia biblia husema "And his brother...."
 
Mkuu unajipoteza tu na uhasi wako
Tuanzie baioloji, kemia fizikia jeoglafia kote unakotaka uniambie vyote hovyo vilipatikanaje

Nakataa label ya uhasi. Labda wewe huelewi mambo tu.

Sawa.

Twende kidhahania.

Kwanza kabisa, unaelewa katika kutafuta jibu sahihi kuna kitu kinaitwa "elimination method"?

Unaikubali "elimination method" katika kutafuta jibu sahihi?

Yani, ukishajua kwamba, katika base ten math, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, piga ua galagaza hata ufanye nini haiwezi kuwa kubwa kuliko 2, basi unaweza kuanza kutafuta jibu lako la square root ya 2 katika namba zilizo ndogo kuliko 2, ukaziacha namba zote zilizo kubwa kuliko 2 katika hatua ya jwanza ya "elimination method"?

Unaikubali hiyo elimination method na logical consistency?
 
Alishafahamu ni wapi anajifunga.

Hakuna baba anayejubali kuona mtoto wake wakike akifNya hayo, ila baba huyo huyo yupo hapa kusema kataa ndoa akichezea watoto wakike wa wenzake.

Very wonderful.
Nakataa ndoa kama mkataba wa kisheria , japo bado sjaona umuhimu wa kuishi kinyumba
Mpaka sasa swali hujajibu nafikiri hujasoma vzuri.
Tunataka kusikia kauli ya baba regardless mtoto atafanya kinyume.

Upo tayari au haupo tayari?
Tatzo lako unataka majibu yangu yawe kwenye mipaka yako😜
 
Mkuu usikariri vitabu, hayo unayosoma ni waliyoona yanafaa yakufikie kuna siri nzito zimefichwa kwenye mambo ya dini. Nikipe mfano mdogo miaka hiyo Roman Catholiki ilizusha vita baada ya kuwa nabutaratibu wa kuwachinjilia mbali wote waliopinga kujiunga na dini hiyo na hutakuta sehemu wamekuandikia mpaka upitie historia ya kawaida isiyogusa dini.
Mkuu unamwambia asikariri vitabu. Wewe haya unayoyasema umeyatoa wapi!? Je umesoa article mbali mbali au umeoteshwa? Kama umesoa article mbali mbali ndicho hata yeye aliomba reference ili ajisomee mwenye. Unless uwe unaoteshwa
 
Back
Top Bottom