Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Hapa movies za Hollywood nazo zinaruhusiwa?
 
Tunajadili kwa mujibu wa kitabu gani, kilichoandikwa na nani? Sura ya ngapi? Ukurasa wa ngapi? Aya ya ngapi?
 
Sasa si alimzaa akiwa bikra mkuu. Tena bila mtwangio kumgusa! Hoja yako ingekuwa na mashiko kama kabla ya kumzaa Yesu alikuwa tayari na watoto, nilidhani!
Alipofika meno pause akarudishiwa bikira yake?

Maana kuna wagaltia hawasomeki linapokuja suala la idol worahip
 
Mimba ya yesu ilitokea kimiujiza bila tendo ndo maana akaitwa bikira...waliofatia nadhani tendo lilifanyikaπŸ˜€
Je salutation ya kumuita bikira baada ya Yesu kuzaliwa bado ina make sense?

Kwa nini anapigiwa goti tena ktk mfano wa kazi ya mikono ya binadamu?
 
Nehi
 
SiJaona
Sijaona mada ya kujadili.Pia hiyo ni story yako binafsi haina rejea
 
DR Mambo Jambo unahitajika hapa πŸ‘†πŸ‘†
 
Kama kweli ana yakini kwamba Mungu hayupo , asingekuwa anauliza...Ina maana bado yupo njia pandaπŸ˜…
Ndio maana nikasema yeye ni mtu mwema ambae ameshindwa kupata ukweli kuhusu kuwepo Mungu. Inamaana akipata uhakika anamwamini. Ni tofauti na yule anaesema Mungu yupo ila nae ni moja kati ya miungu mingine.
 
Kumbe yesu alikuwa fundi huru, tool Master
 
DR Mambo Jambo unahitajika hapa πŸ‘†πŸ‘†
Sijajua alikuwa Anamaanisha nini kuhusu Kufanya kosa (Kwamba yusufu kafanya kosa?)

Naamini ataweka sawa anamaanisha nini?

Ntafanya Marekebisho Kidogo Kwake!

Maria aliolewa akiwa na miaka 12 au 13 kwa mujibu wa Sheria za kiyahudi..na sio 15 kama anavyosema...

Sherehe za kiyahudi za balekhe kwa mwanamke huitwa "Bat mitzvah"

Huazimishwa mwanamke akifikisha miaka 12 mpaka 13 na ndo kwenye kumaliza sherehe hizo Maria akawa ameolewa na Yusuph huku Zacharia Ndugu yake na baba wa Yohana mbatizaji akisimamia hilo..

Mwanamke aliolewa kabla ya kuingia kwenye Bat mitzvah akiwa na umri wa miaka 11 au 12 kama atapata Mume mapema!
Japo haikuruhusiwa kukutana naye mpaka afikishe miaka 14.

Kuhusu Ndoa yake na kila Kitu kuhusu Alivyozaliwa na kulelewa Soma The Gospel of Birth of Mary.
Kitabu cha Aprokrifa..

Sasa Tuhame huku

Kuhus "Bar Mitzvah" sherehe ya wanaume
Walikuwa wakitimiza miaka 13 mpaka 14 ndo wanaenda kujitafuta hapa ndo wengi huwa machakaramu wenye kujifunza watajifunza wenye uhuni watafanya wenye uovu watafanya..

Na ndo maana hakuna Story ya yesu Mahali popote pale kwenye Sources Aminifu zinazoonyesha kipindi cha bar Mitzvah anaanza kuonekana akiwa tayr bar mitzvah imeisha..miaka 30 (Hakuna hadithi kuanzia miaka 13 mpaka 30 ya yesu)

Nafikiri kwa maoni yangi ingekuwa Kwanini Mungu alifnya Jukumu la kumuwekea Maria Mimba akijua ni Mke wa Mtu bila kumtarifu mumewe kwanza?

Uncle bright
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…