Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Umeleta porojo bila ushahidi wowote.

Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.

Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.

Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.

Qur'an ipo very clear kwenye hili.
 
Aiseee
 
Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
Kuwa na wadogo zake Yesu si kitu, sema Yesu ana akaka'ke aitwae Yahya.

Mimi ni Muislam, kinyume na Waislam wengi walivyoaminishwa kichwa kichwa siamini kuwa Mariam alikuwa bikra alipomzaa Yesu kwani tayari alikuwa na mtoto anaitwa Yahya kwa ushahidi wa Qur'an. Na baba yao Yahya na Issa ni Zakaria.
 

Zakaria ni baba mlezi wa Mariamu, siyo mumewe.

Yahya a.k.a Yohana Mbatizaji ni mtoto wa Elizabeth, mke wa Zakaria, na wala siyo mtoto wa Mariamu.

Zakaria alikuwa inspired kuomba dua ya kupata mtoto baada ya kuona binti anayemlea yaani Mariamu akipata providence kutoka kwa Allah moja kwa moja, akapata imani kuwa pengine naye akiomba mtoto huenda akampata. Ndipo alipoomba dua, na Mungu akamjaalia kumpata Yahya ( Yohana mbatizaji).

Suratul Maryam na Suratul Imraan imeeleza mambo haya
 
Tuwekee ushahidi wa kila point uliwweka hapo. Mimi nakuja na uzi kuanzisha debate hili suala muhimu kwa Waislam na Wakristo.
 
Tuwekee ushahidi wa kila point uliyoweka hapo. Mimi nakuja na uzi kuanzisha debate, hili suala muhimu kwa Waislam na Wakristo.
 
Unavolazimisha kuwa yusuph alitenda kosa em tuambie hilo kosa au hukumu aliyopewa baada ya kumuoa Maria.?
 
Tunaomba udhibitisho wa miaka mkuu
 

Kwa kumalizia
Je Maria alipata Mimba akiwa na umri wa miaka ?
 
Kumbe wewe dada hata Qur'an huijui, inasikitisha sana
 
Huyu bibi Quran yenyewe haijui vizuri halafu anarukia Biblia iliyoandikwa miaka mingi kabla ya Quran
 

Kwa uelewa wako, kwa vile siku hizi sheria zinaruhusu binti mwenye miaka 18 kuolewa hivyo mabinti wote wenye umri huo wenye wachumba Wameolewa?

Binti kuwa na mchumba au mpenzi ndio kuolewa?

Tuanzie hapo
 
Huyu bibi Quran yenyewe haijui vizuri halafu anarukia Biblia iliyoandikwa miaka mingi kabla ya Quran
Biblia kuandikwa miaka mingi kabla ya Qur'an hakuipi uhalali kuwa ni ukweli.

Sababu mojawapo ya kushushwa Qur'an ni hiyo ya biblia kuwa imetiwa mikono ya watu.

Qur'an imekuja kuubainisha ukweli ni upi.

Qur'an ipo wazi kabisa:

Quran18:1. Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo. 1

2. Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri. 1


3. Wakae humo milele. 3


4. Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana. 4


5. Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu. 5
 
huo ulikuwa utamaduni wa wayahudi wote, kasome historia ya wayahudi
Huo sio uthibitisho,ni sawa na utwambie wamasai wote wamekeketwa afu tukiomba uthibitisho useme huo ni utamaduni wao,wewe lete andiko lililosema wazi kuwa Maria alikuwa na umri fulani,ni maandiko ya Biblia tu tutayakubali ila sio historia za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…