Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🤣🤣🤣Kaka kazingua hapaNikajua ni mimi tu sijafika kwenye hicho kitabu, kumbe tuko wengi. Akikupa mstari nikumbuke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Kaka kazingua hapaNikajua ni mimi tu sijafika kwenye hicho kitabu, kumbe tuko wengi. Akikupa mstari nikumbuke
Umeleta porojo bila ushahidi wowote.MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.
Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.
Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
AiseeeUmeleta porojo bila ushahidi wowote.
Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.
Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.
Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Qur'an ipo very clear kwenye hili.
Kuwa na wadogo zake Yesu si kitu, sema Yesu ana akaka'ke aitwae Yahya.Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
Kuwa na wadogo zake Yesu si kitu, sema Yesu ana akaka'ke aitwae Yahya.
Mimi ni Muislam, kinyume na Waislam wengi walivyoaminishwa kichwa kichwa siamini kuwa Mariam alikuwa bikra alipomzaa Yesu kwani tayari alikuwa na mtoto anaitwa Yahaya kwa ushahidi wa Qur'an. Na baba yao Yahya na Issa ni Zakaria.
Tuwekee ushahidi wa kila point uliwweka hapo. Mimi nakuja na uzi kuanzisha debate hili suala muhimu kwa Waislam na Wakristo.Zakaria ni baba mlezi wa Mariamu, siyo mumewe.
Yahya a.k.a Yohana Mbatizaji ni mtoto wa St Anne, mke wa Zakaria, na wala siyo mtoto wa Mariamu.
Zakaria alikuwa inspired kuomba dua ya kupata mtoto baada ya kuona binti anayemlea yaani Mariamu akipata providence kutoka kwa Allah moja kwa moja, akapata imani kuwa pengine naye akiomba mtoto huenda akampata. Ndipo alipoomba dua, na Mungu akamjaalia kumpata Yahya ( Yohana mbatizaji).
Suratul Maryam na Suratul Imraan imeeleza mambo haya
Tuwekee ushahidi wa kila point uliyoweka hapo. Mimi nakuja na uzi kuanzisha debate, hili suala muhimu kwa Waislam na Wakristo.Zakaria ni baba mlezi wa Mariamu, siyo mumewe.
Yahya a.k.a Yohana Mbatizaji ni mtoto wa St Anne, mke wa Zakaria, na wala siyo mtoto wa Mariamu.
Zakaria alikuwa inspired kuomba dua ya kupata mtoto baada ya kuona binti anayemlea yaani Mariamu akipata providence kutoka kwa Allah moja kwa moja, akapata imani kuwa pengine naye akiomba mtoto huenda akampata. Ndipo alipoomba dua, na Mungu akamjaalia kumpata Yahya ( Yohana mbatizaji).
Suratul Maryam na Suratul Imraan imeeleza mambo haya
Tuwekee ushahidi wa kila point uliwweka hapo. Mimi nakuja na uzi kuanzisha debate hili suala muhimu kwa Waislam na Wakristo.
Unavolazimisha kuwa yusuph alitenda kosa em tuambie hilo kosa au hukumu aliyopewa baada ya kumuoa Maria.?NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,
YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
Tunaomba udhibitisho wa miaka mkuuMUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.
Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.
Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
[emoji16][emoji16]Kama maswali yangu hamjajibu na mimi pia hamjamalizana nami.
Sijajua alikuwa Anamaanisha nini kuhusu Kufanya kosa (Kwamba yusufu kafanya kosa?)
Naamini ataweka sawa anamaanisha nini?
Ntafanya Marekebisho Kidogo Kwake!
Maria aliolewa akiwa na miaka 12 au 13 kwa mujibu wa Sheria za kiyahudi..na sio 15 kama anavyosema...
Sherehe za kiyahudi za balekhe kwa mwanamke huitwa "Bat mitzvah"
Huazimishwa mwanamke akifikisha miaka 12 mpaka 13 na ndo kwenye kumaliza sherehe hizo Maria akawa ameolewa na Yusuph huku Zacharia Ndugu yake na baba wa Yohana mbatizaji akisimamia hilo..
Mwanamke aliolewa kabla ya kuingia kwenye Bat mitzvah akiwa na umri wa miaka 11 au 12 kama atapata Mume mapema!
Japo haikuruhusiwa kukutana naye mpaka afikishe miaka 14.
Kuhusu Ndoa yake na kila Kitu kuhusu Alivyozaliwa na kulelewa Soma The Gospel of Birth of Mary.
Kitabu cha Aprokrifa..
Sasa Tuhame huku
Kuhus "Bar Mitzvah" sherehe ya wanaume
Walikuwa wakitimiza miaka 13 mpaka 14 ndo wanaenda kujitafuta hapa ndo wengi huwa machakaramu wenye kujifunza watajifunza wenye uhuni watafanya wenye uovu watafanya..
Na ndo maana hakuna Story ya yesu Mahali popote pale kwenye Sources Aminifu zinazoonyesha kipindi cha bar Mitzvah anaanza kuonekana akiwa tayr bar mitzvah imeisha..miaka 30 (Hakuna hadithi kuanzia miaka 13 mpaka 30 ya yesu)
Nafikiri kwa maoni yangi ingekuwa Kwanini Mungu alifnya Jukumu la kumuwekea Maria Mimba akijua ni Mke wa Mtu bila kumtarifu mumewe kwanza?
Uncle bright
Kumbe wewe dada hata Qur'an huijui, inasikitisha sanaKuwa na wadogo zake Yesu si kitu, sema Yesu ana akaka'ke aitwae Yahya.
Mimi ni Muislam, kinyume na Waislam wengi walivyoaminishwa kichwa kichwa siamini kuwa Mariam alikuwa bikra alipomzaa Yesu kwani tayari alikuwa na mtoto anaitwa Yahya kwa ushahidi wa Qur'an. Na baba yao Yahya na Issa ni Zakaria.
Huyu bibi Quran yenyewe haijui vizuri halafu anarukia Biblia iliyoandikwa miaka mingi kabla ya QuranZakaria ni baba mlezi wa Mariamu, siyo mumewe.
Yahya a.k.a Yohana Mbatizaji ni mtoto wa Elizabeth, mke wa Zakaria, na wala siyo mtoto wa Mariamu.
Zakaria alikuwa inspired kuomba dua ya kupata mtoto baada ya kuona binti anayemlea yaani Mariamu akipata providence kutoka kwa Allah moja kwa moja, akapata imani kuwa pengine naye akiomba mtoto huenda akampata. Ndipo alipoomba dua, na Mungu akamjaalia kumpata Yahya ( Yohana mbatizaji).
Suratul Maryam na Suratul Imraan imeeleza mambo haya
imekuwa ni kawaida binti wa miaka hata 16 awe na boyfiend anaezini nae na hata wazazi wakawa wanajua na kuchukulia poa lakini binti huyo huyo akiolewa kwa baraka za Mwenyezi Mungu na kuikwepa zinaa ni kosa jwa kizazi cha sasa
NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,
YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
Unafahamu maana ya Imran?Baba wa Mariam ni mzee Imraan, ambaye kuna sura Kamili kwenye Qur'an imepewa jina la huyo mzee!.
Naam, mimi ni mwanafunzi wa Qur'an daima, vipi wewe unaijuwa?Kumbe wewe dada hata Qur'an huijui, inasikitisha sana
Biblia kuandikwa miaka mingi kabla ya Qur'an hakuipi uhalali kuwa ni ukweli.Huyu bibi Quran yenyewe haijui vizuri halafu anarukia Biblia iliyoandikwa miaka mingi kabla ya Quran
Wadogo zake maana yeye ndiye alikuwa wakwanza kuzaliwa,mmoja ndio yule aliyeandika kitabu Cha Yakobo na ndiye YakoboWadogoze au wakubwaze[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji124]
Huo sio uthibitisho,ni sawa na utwambie wamasai wote wamekeketwa afu tukiomba uthibitisho useme huo ni utamaduni wao,wewe lete andiko lililosema wazi kuwa Maria alikuwa na umri fulani,ni maandiko ya Biblia tu tutayakubali ila sio historia za watuhuo ulikuwa utamaduni wa wayahudi wote, kasome historia ya wayahudi